Kalunguyeye jr
Member
- Jan 16, 2018
- 54
- 35
Amani iwe nanyi, tetesi zilizonifikia hivi punde ni kwamba vyama vinavyounda ukawa vikiongozwa na chadema vimepanga kuitisha maandamano ya amani mkoani hapa ili kupinga vitendo vya wanasiasa(ccm na serikali) kuingilia Uhuru wa mahakama na kuwa juu ya sheria kwa kuwaelekeza mahakimu kuwanyanyasa viongozi wa upinzanini na kuwafunga jela.
Aidha kumekuwepo na tetesi kwamba hakimu mfawidhi mahakama ya mbeya ameshinikizwa awafunge kifungo kirefu mh sugu na katibu wake ili apoteze sifa za kuwa mbunge na ufanyike uchaguzi mdogo licha ya jaji mkuu kiongozi kutoa onyo juzi tu.