Chadema inaongozwa na misimamo ya watu vivuli, nashangaa kuona Heche anaungana na polepole hahahaaaaa Jamani kwahyo hamjiamini bila wao? Kwahyo misimamo yenu Mnataka ipushiwe na waasi wa CCM + watukanaji mitandaoni Sasa chadema ni chama au ni genge la wahuni?
Hivi inakuwaje chadema kinawakumbatia watukanaji wajaa laana mfano wa akina sativa, mange na maria Sarungi Yani kabisa wanaamini kitu atakachoongea sativa Wananchi watajifata, Yani Leo hii mangekimambi aseme kitu watu wafate! inamaana hamsomi nyakati,
Eti CHADEMA, huu upumbavu wenu wa kutumia watukanaji kwenye ku push agenda zenu nani aliyewafundisha? Tangu lini mtu akatuna na akaheshika katika jamii.
POVU RUKSA!
Tena misimamo ya kitoto na kijinga! Mfano wanasema watazuia Uchaguzi Mkuu Oktoba wakati wameshindwa kuzuia Kiongozi wao wa mambo ya kitoto na kijinga Lissu asinyee mtondoo!
Kwahiyo mnatii "Sheria bila shuruti" sio? Ni jambo jema!!!..jeshi la Polisi na Mahakama wameingilia kati.
..lakini Chadema walifanya kazi kubwa kuwaelimisha wananchi kwamba uchaguzi hauko huru, na hauna maana.
..Na kwa kiasi kikubwa Chadema wameeleweka.
Kwahiyo mnatii "Sheria bila shuruti" sio? Ni jambo jema!!!
Si ndio muingilie kati kama Gen Z wa Kenya? Au nyie mnaogopa kipondo? Ahahahahaha!!!..Sheria au dhuluma?
Si ndio muingilie kati kama Gen Z wa Kenya? Au nyie mnaogopa kipondo? Ahahahahaha!!!
Ni kweli ndio maana mimi nakuuliza, mnawaogopa Polisi?..Ccm mmeshindwa hoja ndio maana mnawatumia Polisi, Mahakama, na Msajili, kuwakandamiza wapinzani.
CCM Mbona mmeungana na kina kigaila na MremaChadema inaongozwa na misimamo ya watu vivuli, nashangaa kuona Heche anaungana na polepole hahahaaaaa Jamani kwahyo hamjiamini bila wao? Kwahyo misimamo yenu Mnataka ipushiwe na waasi wa CCM + watukanaji mitandaoni Sasa chadema ni chama au ni genge la wahuni?
Hivi inakuwaje chadema kinawakumbatia watukanaji wajaa laana mfano wa akina sativa, mange na maria Sarungi Yani kabisa wanaamini kitu atakachoongea sativa Wananchi watajifata, Yani Leo hii mangekimambi aseme kitu watu wafate! inamaana hamsomi nyakati,
Eti CHADEMA, huu upumbavu wenu wa kutumia watukanaji kwenye ku push agenda zenu nani aliyewafundisha? Tangu lini mtu akatuna na akaheshika katika jamii.
POVU RUKSA!
Heche na CHADEMA ni kawaida yao kukemea maovu ya serekali ya CCM na wanapoikosoa wanatekwa na kuuawa,ulitakiwa ushangae Polepole ambaye ameshindwa kuvumilia maovu ya CCM na kuungana na Heche na CHADEMA kukemea maovu ya CCM na serekali yake.nashangaa kuona Heche anaungana na polepole hahahaaaaa Jamani kwahyo