Ni nadra kupata viongozi wasiokuwa na political hypocrisy. Heche ana consistent track record. Watu wa aina hii ni endangered species katika siasa zetu, hivyo ni lazima tuwape ulinzi wa kidemokrasia.
NO HECHE NO CHADEMA.NO LISU NO CHADEMA.wanagarama kubwa kupigania watanzania bila unafiki na kuogopa.katikati ya mauaji na utekaji walisimama imara bila woga ndani ya nchi hawakujali uhai wao walitanguliza tanzania kwanza.leo tunataka kupoteza LULU aliyetupa MWENYEZI MUNGU kisa kina salasini wa kuhongwa na pesa chafu ya abduli. TUKO PAMOJA NA HECHE