Pre GE2025 CHADEMA na wengine chukueni somo kwa CCM. Japokuwa mkutano umedoda lakini kwa kujipaga wamewapiga gape vibaya sana

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Cute Wife

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2023
Posts
1,906
Reaction score
5,000
Wakuu,

Tumeona CCM walivuohangaika na mkutano wao kuhakikisha unafana na kuwa talk of the town lakini bado kumedorora utafikiri hawajabeba wasanii wote Tanzania mpaka Kongo
Lakini pamoja na yote hayo, kwenye kujipanga na kuhakikisha jambo lao linakuwa super wako vizuri sanaaaa. Yaani huwa hawana shoo ndogo.

Pia soma: Pre GE2025 - Stephen Wasira amrithi Kinana nafasi ya Makamu Mwenyekiti CCM Tanzania Bara

Sasa tukika kwa wenzangu na mimi hata steji anayosimamia Lissu mnazingua kweli? Hata kama mko ma resource ndogo mmezidi. Mobilisation 0, kuplani -0, yaani mnajiendea endea tu utafikiri hamna kichwa.

Chukueni somo kwa wenzenu na muangalie kwa resource hizo hizo mlizonazo fanyeni kitu kizuri. Watanzania wakiona mna muelekeo hawataacha kusapoti, sasa hivi wanaona bora CCM sababu wenyewe hamjielewi.

Lissu kawachana ukweli, mnatakiwa kurudi nyuma mjipange na kwenda kama watu wanaojielewa kichwani.

Mje na mapovu makali ya kutoa madoa maana nilimwagia nguo juisi
 
TEna wana humam resource ya kibabe sana hawa CCM.
Naona wanabeba vibabu vyote...hajabaki mtu nyumbani πŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Mmegoma kabisa kukubali kwamba upepo ume wakataa
 
Chedema kiburi mingi lakini hawana lolote la maana wanalojua na hawawezi kujifunza chochote hata uwafundishe nini πŸ’
 
Pesa inaongea. Ndio walioshika nchi sasa unataka wazidiwe na nani tena. Yaani unafananisha CCM na wale wahuni wanaopigana hadharani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…