Ushauri mwema sana Mwanahabari HuruUSHAURI KWENU
Imarisheni zaidi ofisi zenu za kanda ikiwa ni pamoja na maslahi ya viongozi wa kila kanda.Kanda hizi zinafanya kazi kubwa kuliko hata kurugenzi zenu za makao makuu. Ziimarisheni ofisi zenu za kanda kuliko hata makao makuu. Kwani mpaka sasa uhai wa chama chenu ni kwa sababu ya kanda hizi.
Sawa kabisa! Waziri mkuu leo kesho anakuwa waziri mkuu kivuli! Ukitaka kuongoza ukubali kuongozwaMimi nawapenda wapinzani wote maana ndiyo wanaochochea Maendeleo,
Na ikumbukwe kuwa kanuni ya Uumbaji Ni vitu viwili viwili, Usiku,Mchana, Mke,Mume,Shida,Raha,Unanja,Ujinga. Hata Bungeni kuna Waziri na Waziri kivuli.
Kuuchukia upinzani Ni kukosea hata kanuni ya Maisha na Uumbaji wa Mungu.