Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
I’m continuing to read the tea leaves from Tundu Lissu’s Clubhouse appearance.
Lissu aliulizwa swali kuhusu Mbowe kuibeba CHADEMA kifedha.
Akafunguka na kusema kuwa kuna nyakati kamati kuu ya chama ilikuwa inamwambia Mbowe kuwa chama kinahitaji kiasi hiki cha pesa kwa sababu moja, mbili, tatu.
Akishataarifiwa kuhusu hayo mahitaji ya kifedha, Mbowe alikuwa anaenda anakokujua yeye mwenyewe na kurudi na hizo pesa.
Hizo pesa zilikuwa ni mikopo kwa CHADEMA.
Baadaye chama kikipata hela za ruzuku, deni lilikuwa linalipwa kwa huyo mkopeshaji [Mbowe?].
Kisheria kwa sheria zilizopo, sijui uhalali wake ukoje hapo.
Ila nimewaza na kufikiria kuwa yawezekana kulikuwa kunafanyika kamchezo haramu hapo.
Inawezekana katika kuilipa hiyo mikopo, kulikuwa na ‘riba’ nzuri tu.
Lissu alivyokuwa anaongea ni kama vile hakuwa kabisa ‘privy’ na hizo taarifa za fedha za chama.
Kama ni kweli, hiyo inaweza kuelezea vizuri kabisa kwa nini Mbowe anang’ng’ania hayo madaraka.
Maana asipokuwa tena mwenyekiti basi na hiyo ‘gravy train’ ya SGR ndo bye bye na yenyewe.
Hivi yule CAG huwa havikagui hivi vyama vya siasa?
Vitabu vya CHADEMA vinahitaji kupitiwa na kukaguliwa kwa kina.
Maana isije kuwa watu wanafanya biashara kwa mgongo wa siasa za kuwakomboa Watanzania.
Merry Christmas 🎄.