Chadema ndio Chama pekee nchini ambacho Wanachama wake wengi Wamekufa Kwa Kuuawa, kwanini Lakini?

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Chadema haijawahi kupata umaarufu kuizidi ile CUF ya Prof Lipumba na Maalim Seif enzi za Mkapa na IGP Mahita

Lakini Chadema ndio Chama ambacho wanachama wake wameuawa na kupotea bila kujulikana anayewaua au kuwapoteza

Hiki ni Chama Cha siasa Kweli?

Nimekaa pale 🐼
 
Kwako wewe umaarufu ni upi? Unaupimaje? Na Chama cha Siasa unakielewa na kukitambuaje?
 
Siku Dola na Taasisi zake zitaamua Rasimi Kuachana na SIASA, hakutakuwepo na utekaji Wala Mauaji.
 
Kila Ubaya utalipwa, Aliyemuua Ben Saanane kwa Risasi za kichwa alikufa kibwege sana! Hawa wengine wanafuatia
 
Anayewauwa hajulikani?Muuaji anajulikana ni sa....
 
Kwa sababu Chadema miaka ya hivi karibuni wamekuwa Chama cha Wanaharakati sio Wanasiasa. Kuna tofauto kubwa baina ya kufanya upinzani wa Kisiasa na Upinzani wa uongozi wa rais aliyepo madarakani.
 
Aulizwe Ayatollah Aly khamenei Mbowe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…