Administer
JF-Expert Member
- Feb 9, 2020
- 2,639
- 2,384
- Thread starter
-
- #21
Wanachukua mifukoni kwa lazima? Au wananchi wanachanga wenyewe kwa hiari yao?
Ni wakati wa kudai uhuru.Uhuru tumeshapatikanaKama TANU tu wakati wa kudai uhuru wananchi walichangia Sana...
😅Huyu jamaa alifaa kuwa comedianSasa unalia nini wakati wanyonywaji wako happy tu!
View attachment 3331240
Hujui hata maana ya unyonyaji ati nawe ni great thinker?Kila shughuli wanatangaza mchango kutoka Kwa wananchi.Hiki kimekuwa chama Cha kinyonyaji ruzuku mnapata kwa Nini msitumie kwenye shughuli za kujenga chama.Kila wakati ninyi ni kuombaomba kwa wananchi imekuwa too much.
Vyama viko vingi lakini sijaona wakiombaomba kila wakati.Mbayq zaidi fedha zinazokusanywa hazieleweki zinatumika vipi.
Huu ni upigaji kama upigaji mwingine .Mlimsema chama kinapokea fedha nyingi za ruzuku Sasa hiyo ruzuku imeenda wapi?Acheni utapeli wa kisiasa
Uhuru umetekwa na kikundi kiitwacho ccm...Ni wakati wa kudai uhuru.Uhuru tumeshapatikana
Bora chedema wananchi wanachanga wenyewe CCM wanaiba kodi ya wananchiKila shughuli wanatangaza mchango kutoka Kwa wananchi.Hiki kimekuwa chama Cha kinyonyaji ruzuku mnapata kwa Nini msitumie kwenye shughuli za kujenga chama.Kila wakati ninyi ni kuombaomba kwa wananchi imekuwa too much.
Vyama viko vingi lakini sijaona wakiombaomba kila wakati.Mbayq zaidi fedha zinazokusanywa hazieleweki zinatumika vipi.
Huu ni upigaji kama upigaji mwingine .Mlimsema chama kinapokea fedha nyingi za ruzuku Sasa hiyo ruzuku imeenda wapi?Acheni utapeli wa kisiasa
Thibitisha.Bora chedema wananchi wanachanga wenyewe CCM wanaiba kodi ya wananchi
Leo nazungumzia unyonyaji wa CHADEMA chakavuHujui hata maana ya unyonyaji ati nawe ni great thinker?
Mbona huongelei unyonyaji wa ccm?
Unajua gharama za kulaza mgonjwa pale muhimbili ni shilingi 50 elfu kwa siku?
Je ni watanzania wangapi wana uwezo wa kulipa hiyo pesa? Wangapi wanakufa kwa kukosa pesa huku wabunge wa ccm wakilipwa mamilioni kwa kuitukia ndiyooo
Zungumzia gharama za kulaza mgonjwa muhimbili ambazo ni elfu 50 kwa siku. Hizi gharama zina mazara ya moa kwa moja kwa wapiga kura kuliko hayo ya chadema ambayo hata uchaguzi haishiriki. Una akili timamu?Leo nazungumzia unyonyaji wa CHADEMA chakavu
viongoz wapya wote wa Chadema hawana ajira na wala hawajishughulishi na shughuli nyingine zozote za kujipatia kipato.Kila shughuli wanatangaza mchango kutoka Kwa wananchi.Hiki kimekuwa chama Cha kinyonyaji ruzuku mnapata kwa Nini msitumie kwenye shughuli za kujenga chama.Kila wakati ninyi ni kuombaomba kwa wananchi imekuwa too much.
Vyama viko vingi lakini sijaona wakiombaomba kila wakati.Mbayq zaidi fedha zinazokusanywa hazieleweki zinatumika vipi.
Huu ni upigaji kama upigaji mwingine .Mlimsema chama kinapokea fedha nyingi za ruzuku Sasa hiyo ruzuku imeenda wapi?Acheni utapeli wa kisiasa
Mpaka Kichere kaamua ajizeekee awe lizee kuliko hata mzee Wasira, kila mwaka ni yale yale. Kachoka mkurya wa watu.Na kama ufisadi Kila mwaka CAG anauweka hadharani, tume zinaundwa nyuma ya mikamera tena hadharani lakini majibu ya hizo tume nyuma ya pazia, mwaka unao fuata ufisadi unaendelea kuwepo tu, mna mchosha CAG, kikikiki
Tanza giza
Mbona wapo, wanavaa kijani sikuiziAiseee hii nchi waje tu wakoloni
Kuna ile picha ya mtoto pendwa mwingine wa jiwe (Ole Sabaya) analia. Hawa wahuni bwana!!Sasa unalia nini wakati wanyonywaji wako happy tu!
View attachment 3331240
Kila shughuli wanatangaza mchango kutoka Kwa wananchi.Hiki kimekuwa chama Cha kinyonyaji ruzuku mnapata kwa Nini msitumie kwenye shughuli za kujenga chama.Kila wakati ninyi ni kuombaomba kwa wananchi imekuwa too much.
Vyama viko vingi lakini sijaona wakiombaomba kila wakati.Mbayq zaidi fedha zinazokusanywa hazieleweki zinatumika vipi.
Huu ni upigaji kama upigaji mwingine .Mlimsema chama kinapokea fedha nyingi za ruzuku Sasa hiyo ruzuku imeenda wapi?Acheni utapeli wa kisiasa
Hao ni km wale manabii wa uwongoKila shughuli wanatangaza mchango kutoka Kwa wananchi.Hiki kimekuwa chama Cha kinyonyaji ruzuku mnapata kwa Nini msitumie kwenye shughuli za kujenga chama.Kila wakati ninyi ni kuombaomba kwa wananchi imekuwa too much.
Vyama viko vingi lakini sijaona wakiombaomba kila wakati.Mbayq zaidi fedha zinazokusanywa hazieleweki zinatumika vipi.
Huu ni upigaji kama upigaji mwingine .Mlimsema chama kinapokea fedha nyingi za ruzuku Sasa hiyo ruzuku imeenda wapi?Acheni utapeli wa kisiasa
Hawawazidi CCM wanao jilipa posho bungeni kwa kugawa ardi ya mtanganyika kwa wakoloni wa kwanza na wanapiga makofi , nchi ina wajinga sana hiii kuanzia juu hadi chini.Kila shughuli wanatangaza mchango kutoka Kwa wananchi.Hiki kimekuwa chama Cha kinyonyaji ruzuku mnapata kwa Nini msitumie kwenye shughuli za kujenga chama.Kila wakati ninyi ni kuombaomba kwa wananchi imekuwa too much.