Jamani chadema imekufa hata CCM wanajua hiloBwashee kama bado unawategemea chadema 'to get your back' imekula kwako. Chadema ya hivyo aliondoka nayo Dr slaa, hii ya sasa ni porojo tu
Mnaitaka Chadema ya nini wakati mnaiombea usiku na mchana ife? Tulieni dawa iingie hadi kwenye misuli ya seli.Mambo ya hovyo yanafanyika hapa nchini na nyinyi mpo tu hata hamtoi matamko wala kumobilize watu tuandamane.
Hali ngumu ya maisha imetawala na ndio kwanza tabaka tawala wao wanafuja mali za umma tu kutwa kuzurura na midege yetu huko angani.
Nchi ni kama haina kiongozi mkuu kwa sasa kwani kila mtu anajiamlia mambo yake mwenyewe.
Chadema nyinyi ndiyo wa kutuvusha kwenye hili,msitususe tafadhali.
Hiyo miaka ya nyuma CDM wakishatoa huo ufafanuzi kuhusu report ya CAG huwa mnachukua hatua gani?Ni kweli miaka ya nyuma tulikuwa tunawaona CHADEMA na vyama vingine vya upinzani pamoja na wasomi maarufu wanakuja kutupa ufanunuzi kwa lugha rahisi juu ya report ya mkaguzi mkuu. Na baadaye wanakuja tena kutufafanulia bajeti mara tu inapotangazwa. Sasa mwaka huu ripoti ya mkaguzi mkuu imeshatoka lakini naona wapo kimya sijui wamepigwa ganzi na nini.
Inatusaidia wakati wa uchaguzi tujue tunampigia kura mgombea gani na wa chama kipi.Hiyo miaka ya nyuma CDM wakishatoa huo ufafanuzi kuhusu report ya CAG huwa mnachukua hatua gani?
By the way Leo Mbowe akiwa Sinza ametoa neno kuhusu ufisadi uliojaa kwenye report ya CAG.
Kwani Slaa amekufa si umwambie akusaidie au?Bwashee kama bado unawategemea chadema 'to get your back' imekula kwako. Chadema ya hivyo aliondoka nayo Dr slaa, hii ya sasa ni porojo tu
Uje ufute hii baada ya kuona video ya Mbowe ya leo akiwa Sinza ametoa neno kuhusu ufisadi ulifanywa na kuwekwa wazi kwenye report ya CAG na ametoa mapendekezo yake.Mbowe sijui aliambiwa nini pale Ikulu. Nadhani kuna makubaliano fulani yalifikiwa.
Uje ufute hii baada ya kuona video ya Mbowe ya leo akiwa Sinza ametoa neno kuhusu ufisadi ulifanywa na kuwekwa wazi kwenye report ya CAG na ametoa mapendekezo yake.
Tumewaacha kidogo nyie wenye nchiMambo ya hovyo yanafanyika hapa nchini na nyinyi mpo tu hata hamtoi matamko wala kumobilize watu tuandamane.
Hali ngumu ya maisha imetawala na ndio kwanza tabaka tawala wao wanafuja mali za umma tu kutwa kuzurura na midege yetu huko angani.
Nchi ni kama haina kiongozi mkuu kwa sasa kwani kila mtu anajiamlia mambo yake mwenyewe.
Chadema nyinyi ndiyo wa kutuvusha kwenye hili,msitususe tafadhali.
Ndugai si ulikuwa unamkubali vipi umeahamtenga kwa kuwa hana cheo?🤣🤣🤣Chadema watuletee Ndugai tumtingishe Mama kikweli kweli
Ndugai si ulikuwa unamkubali vipi umeahamtenga kwa kuwa hana cheo?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]