Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 9,504
- 20,293
ACT mbona wamechambuaNi kweli miaka ya nyuma tulikuwa tunawaona CHADEMA na vyama vingine vya upinzani pamoja na wasomi maarufu wanakuja kutupa ufanunuzi kwa lugha rahisi juu ya report ya mkaguzi mkuu. Na baadaye wanakuja tena kutufafanulia bajeti mara tu inapotangazwa. Sasa mwaka huu ripoti ya mkaguzi mkuu imeshatoka lakini naona wapo kimya sijui wamepigwa ganzi na nini.
Anafanya mambo akiwa amepoa. Mi mpaka nisikie kongamano la katiba tena, ndio nitaamini. Haya mambo ya kupita mtaani na kundi la watu 10, naona ni utani tu.
Unataka afanye mambo akiwa na jazba??Anafanya mambo akiwa amepoa. Mi mpaka nisikie kongamano la katiba tena, ndio nitaamini. Haya mambo ya kupita mtaani na kundi la watu 10, naona ni utani tu.
Hawa ndiyo wale uvccm chawa wanaangalia fursa 😂Ndugai si ulikuwa unamkubali vipi umeahamtenga kwa kuwa hana cheo?🤣🤣🤣
Ishini na huo uchambuzi wa act unatosha.ACT mbona wamechambua
Achaneni na chadema...kuleni uwoga wenu.Mambo ya hovyo yanafanyika hapa nchini na nyinyi mpo tu hata hamtoi matamko wala kumobilize watu tuandamane.
Hali ngumu ya maisha imetawala na ndio kwanza tabaka tawala wao wanafuja mali za umma tu kutwa kuzurura na midege yetu huko angani.
Nchi ni kama haina kiongozi mkuu kwa sasa kwani kila mtu anajiamlia mambo yake mwenyewe.
Chadema nyinyi ndiyo wa kutuvusha kwenye hili,msitususe tafadhali.
Hawana watu wenye uwezo huo...wamejaza wapiga pambio wa mwenyekitiNi kweli miaka ya nyuma tulikuwa tunawaona CHADEMA na vyama vingine vya upinzani pamoja na wasomi maarufu wanakuja kutupa ufanunuzi kwa lugha rahisi juu ya report ya mkaguzi mkuu. Na baadaye wanakuja tena kutufafanulia bajeti mara tu inapotangazwa. Sasa mwaka huu ripoti ya mkaguzi mkuu imeshatoka lakini naona wapo kimya sijui wamepigwa ganzi na nini.
Haya wenye uwezo chambueni.Hawana watu wenye uwezo huo...wamejaza wapiga pambio wa mwenyekiti
Watanzania wengi hawajitambui.Kila mtu ashinde tu mechi zake chadema kaeni mtulie kabisa maana hawa watanzania hawajawahi jua wanataka nini na wanasimamia nini, Bora kila mtu ale alipo peleka mboga
Kumbe sio?Sasa ACT ni wapinzani mkuu?
Ni kweli miaka ya nyuma tulikuwa tunawaona CHADEMA na vyama vingine vya upinzani pamoja na wasomi maarufu wanakuja kutupa ufanunuzi kwa lugha rahisi juu ya report ya mkaguzi mkuu. Na baadaye wanakuja tena kutufafanulia bajeti mara tu inapotangazwa. Sasa mwaka huu ripoti ya mkaguzi mkuu imeshatoka lakini naona wapo kimya sijui wamepigwa ganzi na nini.
Inatusaidia wakati wa uchaguzi tujue tunampigia kura mgombea gani na wa chama kipi.
Slaa si yupo unashindwa nini kumwambia akusemee? Hatupendi unafikiBwashee kama bado unawategemea chadema 'to get your back' imekula kwako. Chadema ya hivyo aliondoka nayo Dr slaa, hii ya sasa ni porojo tu
Huyo Dr Slaa si yupo mwambie atowe tamko!Bwashee kama bado unawategemea chadema 'to get your back' imekula kwako. Chadema ya hivyo aliondoka nayo Dr slaa, hii ya sasa ni porojo tu
Hujui umuhimu wa Mtu mpaka yakujute.Mambo ya hovyo yanafanyika hapa nchini na nyinyi mpo tu hata hamtoi matamko wala kumobilize watu tuandamane.
Hali ngumu ya maisha imetawala na ndio kwanza tabaka tawala wao wanafuja mali za umma tu kutwa kuzurura na midege yetu huko angani.
Nchi ni kama haina kiongozi mkuu kwa sasa kwani kila mtu anajiamlia mambo yake mwenyewe.
Chadema nyinyi ndiyo wa kutuvusha kwenye hili,msitususe tafadhali.
Umewaza kama Mimi salute!Slaa si yupo unashindwa nini kumwambia akusemee? Hatupendi unafiki