UmkhontoweSizwe
Platinum Member
- Dec 19, 2008
- 10,047
- 9,346
Bwashee yani hapo umepiga fyongo la ugoko ile mbaya; badala ya kuitaka chadema itoe tamko wewe unataka Dr Slaa ndiye atoe tamko?!Huyo Dr Slaa si yupo mwambie atowe tamko!
Ili tuamini kauli yako kwamba CHADEMA ya sasa ni porojo tu.
Hata mimi sipendi unafiki. Yani hali ya ugumu wa maisha ilivyo tete namna hii chama kikuu cha upinzani hakitusemei wananchi, kama huo siyo unafiki ni kitu gani sasa?Slaa si yupo unashindwa nini kumwambia akusemee? Hatupendi unafiki
Kwanini msimwambie Dr. Slaa awasemee wananchi si mmesema Chadema ya Dr.slaa ndio ilikua na uwezo wa kupigania maslahi ya Taifa? Au Dr slaa hawezi kusema?Hata mimi sipendi unafiki. Yani hali ya ugumu wa maisha ilivyo tete namna hii chama kikuu cha upinzani hakitusemei wananchi, kama huo siyo unafiki ni kitu gani sasa?
Gap hiyo imezibwa na ACT tena imezibwa vzr zaidiMambo ya hovyo yanafanyika hapa nchini na nyinyi mpo tu hata hamtoi matamko wala kumobilize watu tuandamane.
Hali ngumu ya maisha imetawala na ndio kwanza tabaka tawala wao wanafuja mali za umma tu kutwa kuzurura na midege yetu huko angani.
Nchi ni kama haina kiongozi mkuu kwa sasa kwani kila mtu anajiamlia mambo yake mwenyewe.
Chadema nyinyi ndiyo wa kutuvusha kwenye hili,msitususe tafadhali.
Tokeni kwenye chama tujue moja, watakuja watu wengine wa kutusemea. Mmeng'ang'ania chamani na kujiita chama kikuu cha upinzani wakati hakuna chochote mnachopinzana ili iweje? That's being irresponsible!Kwanini msimwambie Dr. Slaa awasemee wananchi si mmesema Chadema ya Dr.slaa ndio ilikua na uwezo wa kupigania maslahi ya Taifa? Au Dr slaa hawezi kusema?
Nadhani wameona ni ujinga kuendelea kuwatetea na kuwapigania watu ambao hawajielewi hata pale wanapoibiwa.Ni kweli miaka ya nyuma tulikuwa tunawaona CHADEMA na vyama vingine vya upinzani pamoja na wasomi maarufu wanakuja kutupa ufanunuzi kwa lugha rahisi juu ya report ya mkaguzi mkuu. Na baadaye wanakuja tena kutufafanulia bajeti mara tu inapotangazwa. Sasa mwaka huu ripoti ya mkaguzi mkuu imeshatoka lakini naona wapo kimya sijui wamepigwa ganzi na nini.
Kwani kupiga kura ndiyo kigezo cha ushindi? Hujasikia alichosema mwenyekiti Dialo huko Mwanza?Inatusaidia wakati wa uchaguzi tujue tunampigia kura mgombea gani na wa chama kipi.
Ushauri wa bure ungekazana na CCM wenzako kiwasaidia watanzania lakini kuililia chadema kwa sasa unajichosha bure.Tokeni kwenye chama tujue moja, watakuja watu wengine wa kutusemea. Mmeng'ang'ania chamani na kujiita chama kikuu cha upinzani wakati hakuna chochote mnachopinzana ili iweje? That's being irresponsible!
Mnataka tuwaunge mkono, kwa nini cha mno mnachofanya? Kwa kugeuka mabubu wakati wa hali ngumu?
Walikuwa na kambi rasmi ya upinzani bungeni, walikuwa na mawaziri vivuli wa kila wizara, hvyo walikuwa na huo wajibu, kwa sasa wako nje ya system na malengo ni kujiimarisha katika maeneo mengine, ndo maana movement zao ni katiba mpya na jion the chain, mi nadhan mnawalaumu bure, badala yake kila mtu amkabe mbunge wake amuulize kwanini hawatetei maslahi ya watu wake masikini, chadema hamkuwapa kura mnataka wawawakilishe kwa lipi?Mambo ya hovyo yanafanyika hapa nchini na nyinyi mpo tu hata hamtoi matamko wala kumobilize watu tuandamane.
Hali ngumu ya maisha imetawala na ndio kwanza tabaka tawala wao wanafuja mali za umma tu kutwa kuzurura na midege yetu huko angani.
Nchi ni kama haina kiongozi mkuu kwa sasa kwani kila mtu anajiamlia mambo yake mwenyewe.
Chadema nyinyi ndiyo wa kutuvusha kwenye hili,msitususe tafadhali.
Yani ccm hakuna kituNimefurahi sana kuona Uzi huu.
Kila kitu kimeharibika kifupi disco limeingia Masai.
1. Bunge limepoooa kama kikao Cha vikoba au Cha msiba. Halivutii hata kuangalia sembuse kusikiliza. Watu wenye mvuto hawapo. Kipindi hicho tukisomewa ratiba za nani atachangia basi hata bar mziki unazimwa tunasikiliza Mnyika, Sugu, Lema, Mbowe au Tundu Lissu anachangia.
Baada ya hao kutoa mchango wao basi DJ anafungulia mziki - bunge la Anna Makinda na Samwel Sitta.
2. Tangu uchafuzi wa 2020 kufanyika wananchi hatujui hata majina ya mawaziri. Serikali imepooooooaaaa kama maji ya bwawani. Serikali Haina mvuto.
Mlimwacha yule marehemu ameharibu utaratibu Kila kitu kiko hovyooo.
Sasa limekufa alafu imeshindikana hata kurekebisha.
Bunge limekiwa kikao Cha CCM.
Mambo ya hovyo yanafanyika hapa nchini na nyinyi mpo tu hata hamtoi matamko wala kumobilize watu tuandamane.
Hali ngumu ya maisha imetawala na ndio kwanza tabaka tawala wao wanafuja mali za umma tu kutwa kuzurura na midege yetu huko angani.
Nchi ni kama haina kiongozi mkuu kwa sasa kwani kila mtu anajiamlia mambo yake mwenyewe.
Chadema nyinyi ndiyo wa kutuvusha kwenye hili,msitususe tafadhali.