CHADEMA ni kundi La Nzige

CHADEMA ni kundi La Nzige

SIDANGANYIKI2015

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2015
Posts
1,054
Reaction score
114
Nimekuwa nikiwafuatilia hawa watu hasa viongozi na vijana wao hawana nia njema na watanzania,wanaendeshwa na mihemuko ya Siasa, vurugu ,unafiki na Matusi pamoja na uongo.Kwa matendo yao watanzania tuwahukumu na kamwe tusiwqpe nafasi ya kutuongoza!
 
Nimekuwa nikiwafuatilia hawa watu hasa viongozi na vijana wao hawana nia njema na watanzania,wanaendeshwa na mihemuko ya Siasa, vurugu ,unafiki na Matusi pamoja na uongo.Kwa matendo yao watanzania tuwahukumu na kamwe tusiwqpe nafasi ya kutuongoza!

tusiwqpe=
tusiwape kwani wewe unapiga kura ngapi?
 
hivi hadi huu msimu wa uchaguzi bado mnalipwa buku 7 au dau limepanda??
 
Wanajiita miamba ya Kaskazini, teh teh teh akiinuka kiongozi yoyote zaidi yao hawamruhusu kuishi kama unabisha muulize Zitto Kabwe alipokua Mwenyekiti wa PAC na Mbunge wa CDM katika nafasi ya juu ya utendaji kwa kuweka maslahi na mahaba niue ya chama pembeni alipomtaka Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali CAG na Msajili wa Vyama vya Siasa kuanza kulitilia mkazo na kuanza mara moja kufuatilia na kukagua Ruzuku kwenye vyama vya Siasa, CHADEMA walianza kumchukia ghafla kama sio Nzige hao ni nani teh teh teh wanalamba Ruzuku hao ni sheedah maana wao ni wa pili kwa kupata Ruzuku kubwa kwa upande wa vyama vya siasa! Afu wanajifanya watetezi wa wanyonge na wanachukia Rushwa. Ni NZIGE TU.

CHADEMA.

1992-1998. M/ kiti Edwin Mtei
1988-2003. M/kiti Bob Makani
2003-2008. Mkiti Freeman Mbowe
2009-2014. M/ kiti Freeman Mbowe
2014-2019. M/ kiti Freeman Mbowe




 
Hivi unaweza kuondoka nyumbani eti unaenda kuwapigia kura CHADEMA? Ni uwendawazimu wa hali ya juu,

Kwa maslahi mapana ya Taifa letu, hawa CHADEMA tuendelee kuwaepuka!
 
nimekuwa nikiwafuatilia hawa watu hasa viongozi na vijana wao hawana nia njema na watanzania,wanaendeshwa na mihemuko ya siasa, vurugu ,unafiki na matusi pamoja na uongo.kwa matendo yao watanzania tuwahukumu na kamwe tusiwqpe nafasi ya kutuongoza!

hawa muda si mrefu watapotea kwenye ramani ya tz kwa matendo yao watabaki uchagani
 
Hivi ni kweli mtu ukiwa ccm member akili inakuwa non function?
 
we need fact&numbers c mawazo yako yanavyo kudanganya mkuu
 
Back
Top Bottom