SIDANGANYIKI2015
JF-Expert Member
- Apr 19, 2015
- 1,054
- 114
Nimekuwa nikiwafuatilia hawa watu hasa viongozi na vijana wao hawana nia njema na watanzania,wanaendeshwa na mihemuko ya Siasa, vurugu ,unafiki na Matusi pamoja na uongo.Kwa matendo yao watanzania tuwahukumu na kamwe tusiwqpe nafasi ya kutuongoza!
Hakuna umaskini mbaya kama umaskini wa akili kama wa mtoa mada sijui kala maharage ya wapi.
hivi hadi huu msimu wa uchaguzi bado mnalipwa buku 7 au dau limepanda??
tusiwqpe=
tusiwape kwani wewe unapiga kura ngapi?
nimekuwa nikiwafuatilia hawa watu hasa viongozi na vijana wao hawana nia njema na watanzania,wanaendeshwa na mihemuko ya siasa, vurugu ,unafiki na matusi pamoja na uongo.kwa matendo yao watanzania tuwahukumu na kamwe tusiwqpe nafasi ya kutuongoza!
Kamuulize Dkt Slaa kule Katavi wale bodaboda men yale mafuta aliwalipia sh. Ngapi kwa akili zako
Hivi ni kweli mtu ukiwa ccm member akili inakuwa non function?
punguza jazba