shamajengo
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 1,217
- 1,432
hawa muda si mrefu watapotea kwenye ramani ya tz kwa matendo yao watabaki uchagani
Nenda kawaulize BAVICHA
Nimekuwa nikiwafuatilia hawa watu hasa viongozi na vijana wao hawana nia njema na watanzania,wanaendeshwa na mihemuko ya Siasa, vurugu ,unafiki na Matusi pamoja na uongo.Kwa matendo yao watanzania tuwahukumu na kamwe tusiwqpe nafasi ya kutuongoza!

we need fact&numbers c mawazo yako yanavyo kudanganya mkuu
unahititaji matibabu ya physichiary
Uvccm wao wanakipi cha kusema juu ya hilo
Ili kulijua hilo unahaja ya kwenda chuo kikuu?

Umekaririshwa wazo hili au una akili sawa nyenyere! Nzige wanaokikikimisha chama tawala, chama dola na fedha na vyombo vya ukandamizaji mpaka na wewe shabiki mandazi unapost Uzi kukizungumzia, basi hicho ni chama makini; kinalo jambo la maana kinafanya! wahenga walisema "mti wenye maembe mengi ndio hupopolewa mawe zaidi"
Ha ha ha ha huo mti wenye maembe mengi ndo unapopolewa ndo upi huo wa CDM? Hayo maembe yenyewe naona yanajiangukia yenyewe yameshaliwa na panya buku waliojaa Makao makuu ya OFISI ZA CDM!!
Ha ha ha ha huo mti wenye maembe mengi ndo unapopolewa ndo upi huo wa CDM? Hayo maembe yenyewe naona yanajiangukia yenyewe yameshaliwa na panya buku waliojaa Makao makuu ya OFISI ZA CDM!![/QUOT
Mti huo ni CDM bila shaka na ndio maana hata wewe ukatumia "lugha hasi" kuonyesha mtikisiko unaosababishwa na CDM!
Kuseama CDM ni kundi la Nzige; kitu ambacho katu hakiwezi kutokea; ni dalili chanya kwamba sasa kuna kuweweseka miongoni mwa watani zetu wafuasi, wanachama na mashabiki wa CCM; chama kizee; chama kilichoishiwa na mawazo; chama kinachostahili kuzikwa mara moja kwa maslahi mapana ya nchi yetu Mama Tanganyika.

MTK, anatakiwa kuzika hizo fikra zake za CDM maana amelewa tayari. Tabia ya nzige ni kuvamia shamba na kuharibu mazao. Hiyo ni dalili mbaya Watanzania hawatavuna kitu nzige hao wakitua shambani maana hata shina halitapatikana.

Huku kwetu kuliko ungua shoka mpini ukabaki; Bukama Batoko tafsiri yake sikwambii leo wala kesho! bali itoshe tu kukushauri kwamba "Jiunge na timu ya washindi" kabla hakujakucha!! Fikra za CDM ndio fikra za wakati uliopo; going forward;
Ukiona kila mtia nia wa CCM anatangaza nia kwa kutaka kuijenga upya Tanzania! salaaale! kwani tumepata uhuru leo?! eti kupambana na rushwa na ufisadi; Aaastagafilulahi! rushwa na ufisadi vimetoka wapi wakati wao ndio wako madarakani? na hao mafisadi, wala rushwa na majangili ni kina nani!? Eti kuimarisha amani na mshikamano, kumbe vimetikisika under their watch?! eti kujenga uchumi wa viwanda; afanaleki! viwanda alivyoacha mwalimu vimekwenda wapi na wao ndio watawala!?; au kuna Tsunami ilipita vikatumbukia kweusi?! Eti kudumisha muungano; kwani hizo nyufa na kero hawazioni au ndio kesi ya "Funika kombe mwanaharamu apite?!!
Hata hivyo; pole sana Bukama Batoko; kwa CV hii hapa chini wewe bado ni wa "Chandimu" kule mchangani; kwa ligu kuu hujapevuka; tulia ukikua utaelewa! au jiunge na ACT; alliance for cowards and traitors watoto wenzio!
Join Date: 27th April 2015
Posts: 157
Rep Power: 338
Likes Received: 22
Likes Given: 14
text color mine and deliberate!!

Mtk Nilikua napitia post zako kidogo nilie kwa jinsi ulivyo mzigo katika taifa hili! Hata siendelei zaidi maana najichosha bure ni huzuni hapa!
CCM nuksi CHADEMA ndo usilonge. kwa hyo CCM & CHADEMA wote ni nzige.
Mtk Nilikua napitia post zako kidogo nilie kwa jinsi ulivyo mzigo katika taifa hili! Hata siendelei zaidi maana najichosha bure ni huzuni hapa!
Join Date: 20th April 2015
Posts: 920
Rep Power: 492
Likes Received:103
Likes Given:37
Kwa mtu mwenye sifa hizi ni lazima ulie na kupiga uuuwi tu huna jinsi! hapa umekutana na Gogo la Choo; kama unajua maana yake! watu wengine mnafanya kuandika andika kwenye jamvi hili kama hobby; huu ni uwanja wa wana taaluma sio mazao ya shule za kata zilizoasisiwa na Mr Politician fulani anayesubiri kuchinjiwa baharini in due cause!