Hudanganyiki Kweli, Na Wala Isingetupasa Kudanganyika!
Ukiona Mtu Anadai Kukubalika Kwa Nguvu Ujue Huyo Ni Hopeless Kabisa, Chama Cha Fitina CHADEMA! Kwa Watu Wenye Akili Timamu Na Wenye Nia Njema Na Tanzania Wangetuonesha Mfano Kwa Umoja Wao, Kwanini Wasiheshimiane Wenyewe Wanaotuomba Tuwapatie Kula, Halafu Kasoro Wakazioneshe Baadaye?
Tuwe Makini CHADEMA NI CHADICTETA, Chunguzeni Hata Alama Za Bendera Jamani..rangi "nyekundu"- halafu "change demo..(what)...MOVEMENT" tutegemee nini kwa mujibu wa bendera ya Taifa?..
Ngojeni mwone WAZALENDO watakavyopata utawala, na Fitina Yote Juu Ya CCM itawahamia wao, Vita Hadharani Na Wanainchi tutashuhudia na kuelewa ukiritimba wa waliotunyonya nyuma!