Tetesi: CHADEMA ni miongoni mwa Vyama mashuhuri duniani vilivyoalikwa kushiriki mazishi ya Malkia Elizabeth!

🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Nashauri Mbowe awatume Lissu na Lema kwakuwa wapo karibu na eneo la mazishi. Hili litasaidia kuokoa fedha nyingi na makato ya tozo.
 
Machadema yanatamani yaalikwe ila ndio hivyo hayana mvuto huo!

Alafu mrs amsterdam si yupo hapo belgiji tu bila shaka atawakilisha
 
Hayana mvuto kwako pumbavu aliyeichukia Chadema kwa muda wa miaka mitano analia kuzimu bado wewe pumbavu.
 
Back
Top Bottom