J johnthebaptist JF-Expert Member Joined May 27, 2014 Posts 97,869 Reaction score 171,716 Sep 12, 2022 #1 Kuna taarifa kwamba Chadema ni miongoni mwa vyama mashuhuri duniani vilivyoalikwa kushiriki mazishi ya Malkia Elizabeth wa Uingereza. Bado nafuatilia orodha kamili ya hivyo vyama.
Kuna taarifa kwamba Chadema ni miongoni mwa vyama mashuhuri duniani vilivyoalikwa kushiriki mazishi ya Malkia Elizabeth wa Uingereza. Bado nafuatilia orodha kamili ya hivyo vyama.
N NIMEONA JF-Expert Member Joined Aug 4, 2019 Posts 3,862 Reaction score 5,693 Sep 12, 2022 #2 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Nashauri Mbowe awatume Lissu na Lema kwakuwa wapo karibu na eneo la mazishi. Hili litasaidia kuokoa fedha nyingi na makato ya tozo.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Nashauri Mbowe awatume Lissu na Lema kwakuwa wapo karibu na eneo la mazishi. Hili litasaidia kuokoa fedha nyingi na makato ya tozo.
Crimea JF-Expert Member Joined Mar 25, 2014 Posts 25,874 Reaction score 36,030 Sep 12, 2022 #3 Machadema yanatamani yaalikwe ila ndio hivyo hayana mvuto huo! Alafu mrs amsterdam si yupo hapo belgiji tu bila shaka atawakilisha
Machadema yanatamani yaalikwe ila ndio hivyo hayana mvuto huo! Alafu mrs amsterdam si yupo hapo belgiji tu bila shaka atawakilisha
S sysafiri JF-Expert Member Joined Sep 19, 2019 Posts 6,845 Reaction score 10,071 Sep 12, 2022 #4 Protokali hairuhusu!
W WALOLA VUNZYA JF-Expert Member Joined Nov 20, 2020 Posts 7,154 Reaction score 7,155 Sep 12, 2022 #5 Crimea said: Machadema yanatamani yaalikwe ila ndio hivyo hayana mvuto huo! Alafu mrs amsterdam si yupo hapo belgiji tu bila shaka atawakilisha Click to expand... Hayana mvuto kwako pumbavu aliyeichukia Chadema kwa muda wa miaka mitano analia kuzimu bado wewe pumbavu.
Crimea said: Machadema yanatamani yaalikwe ila ndio hivyo hayana mvuto huo! Alafu mrs amsterdam si yupo hapo belgiji tu bila shaka atawakilisha Click to expand... Hayana mvuto kwako pumbavu aliyeichukia Chadema kwa muda wa miaka mitano analia kuzimu bado wewe pumbavu.