One against all... But still un conquered
Uko vizuri mkuu.CHADEMA is the best. Huyo wa nne ni mtu asiyejulikana wakishirikiana na Polisi, Mahakama, Msajili wa vyama vya siasa, spika wa bunge, Tume ya Uchaguzi, Wakurugenzi was halmashauri na vibaraka wengine wa CCM.