CHADEMA ni Sumu kwa nchi, ambayo wananchi wasithubutu kuionja hata, inaua

Kwa umri huo umechelewa sana kuanza kuimba nyimbo hizo za watoto wenye njaa Lijua.
 
UPUUZI MTUPU!
Ni kuulize labda... mpuuzi ni Yule aliyeeleza mazuri ya upande fulani na kuonesha na kutoa tahadhari kwa upande mwingine, au aliye shambulia hoja kwa maneno machache ya Upuuzi?
 
Sumu iliyopo ni mbaya zaidi..
Imeua biashara
Imeua kilimo
Imeua wafanyakazi
Imeua wanafunzi
Imeua mahusiano yetu ya kimataifa..

Hakika hii ni serikali ya kishetani ambayo ni lazima iondokewe maana Mungu katuletea Tundu Lissu na chadema...
 
Ni kuulize labda... mpuuzi ni Yule aliyeeleza mazuri ya upande fulani na kuonesha na kutoa tahadhari kwa upande mwingine, au aliye shambulia hoja kwa maneno machache ya Upuuzi?
 
Ni kuulize labda... mpuuzi ni Yule aliyeeleza mazuri ya upande fulani na kuonesha na kutoa tahadhari kwa upande mwingine, au aliye shambulia hoja kwa maneno machache ya Upuuzi?
 
Bora hawa sumu kuliko wanaopiga watu risasi na kupoteza watu
 
Hayo yote uliyoeleza ni majungu. Mbona watu wa Kanda ile mnapenda saaana majungu? Huo ujasiri wa kuandika vitu vya uongo visivyo na utafiti wowote mnaupata wapi?
 
Mbona yameshindwa boresha maisha ya watz
 
Sumu ya CCM tumeiona kwenye maandalizi ya uchaguzi huu jinsi mlivyo jipanga kuwaumiza wapinzani na fomu zao kukimbia nazo ama kusema zimechukuliwa tayari na mengi ya hovyo ambayo hayajawahi kutokea kwenye chaguzi zilizopita,kama mnapendwa kwanini mjipange kuwadhuru watu
 
CCM ndio sumu kwa watanzania,wanatumia ujinga na umasikini wa watanzania kuendelea kubaki madarakani!
Ingekuwa nusu tu ya watanzania wameelimika na wana nafuu ya maisha basi CCM ingekuwa imetolewa madarakani muda mrefu!
 
Wasimamizi wa uchaguzi wanahudhuria semina labda kusimamia namna ya CCM kushinda na siyo kusimamia uchaguzi huru yaliyotokea mwaka huu ni aibu tupu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…