MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 14,588
- 32,361
CHADEMA ni watanzania wenzetu ambao pia wanahitaji neno la faraja kwa wanayoyapitia. Mimi ninawasihi wasikate tamaa kwenye nyakati hizi ngumu ila nao wajishushe na kwenda kumwomba msamaha aliyekuwa hawara wa Dr Slaa kwa kumtelekeza pamoja na kwamba alikuwa mhanga wa maandamano ya Januari 5, 2011 kule Arusha. Pia Lema awaombe msamaha Bodaboda na kina mama wa Viccoba kwa kutamka kauli chafu ya kuwa kazi yao ni ya laana. WASIPOFANYA HAYA NILIYOWAAMBIA WASIMLAUMU MTU KWA ADHABU WATAKAYOPATA KWENYE SANDUKU LA KURA.
Ninawasihi pia waachane na mambo ya rushwa. Wanavyojitetea kuwa mbona CCM nao wanakula rushwa ndo wanazidi kujiharibia. Mimi toka nimezaliwa nimekuta CCM inalaumiwa ila bado inasonga mbele kwa kishindo ili kuashiria kuwa hata KARMA nayo haijui address ya CCM au inajua ila ikifika inapewa takrima na kutulia😄.