WALOLA VUNZYA
JF-Expert Member
- Nov 20, 2020
- 8,437
- 8,136
CHADEMA haijachukua nchi hivyo swali lako ni la kipuuzi kwa sababu Mpaka sasa hawana mtu yeyote Serikalini,uliza ccm wenzio watakujibu je hoja ya kukopa kopa ni Agenda ya chama chenu au mtu binafsi?JPM alipokuwa anasisitiza kupunguza utegemezi wa mikopo kwajili ya maendeleo ya nchi, Chadema walipinga sana na kusisitiza kuwa lazima tukope.
Leo mama anakopa hadi ela ya kununua chumvi mnaona hiyo haifai, sasa mmesimama kumshangilia Ruto anapoongea kauli ileile aliyoongea JPM.
Tupeni msimamo wa chadema kuhusu kukopa maana siku hazigandi maybe baadae mnawezakamata nchi je mtafanya nini katika agenda ya ukopaji?
View attachment 2471740
Kwani kipindi Cha JPM data hazikua cooked? Wakati wapinzani tunasema data za GDP na Makusanyo zimepikwa mlisema tunatumika na mabeberu.Umeongea Point nyingi,
Bt umeharibu uliposema TRA wamevika lengo la ukusanyaji Kodi!!
Cooked cooked data!!!!!!!!!
Tulipo sasa na tunakoelekea mishahara itashindikana kulipia sababu ya kujua Kwa riba na madeni ya mikopo.
Na kazivilionekana!Sijui ni mtu mjinga kiasi gani anayeamini kuwa Magufuli hakukopa
Ni rais aliyekopa zaidi ndani ya miaka 5 kuliko Kikwete na Mkapa walivyokopa kwa miaka 10
JPM alipokuwa anasisitiza kupunguza utegemezi wa mikopo kwajili ya maendeleo ya nchi, Chadema walipinga sana na kusisitiza kuwa lazima tukope.
Leo mama anakopa hadi ela ya kununua chumvi mnaona hiyo haifai, sasa mmesimama kumshangilia Ruto anapoongea kauli ileile aliyoongea JPM.
Tupeni msimamo wa chadema kuhusu kukopa maana siku hazigandi maybe baadae mnawezakamata nchi je mtafanya nini katika agenda ya ukopaji?
View attachment 2471740
JPM alipokuwa anasisitiza kupunguza utegemezi wa mikopo kwajili ya maendeleo ya nchi, Chadema walipinga sana na kusisitiza kuwa lazima tukope.
Leo mama anakopa hadi ela ya kununua chumvi mnaona hiyo haifai, sasa mmesimama kumshangilia Ruto anapoongea kauli ileile aliyoongea JPM.
Tupeni msimamo wa chadema kuhusu kukopa maana siku hazigandi maybe baadae mnawezakamata nchi je mtafanya nini katika agenda ya ukopaji?
View attachment 2471740
Msimamo wa chadema ni upi?
Lema na Lissu waliacha madeni makubwa pale Bungeni.JPM alipokuwa anasisitiza kupunguza utegemezi wa mikopo kwajili ya maendeleo ya nchi, Chadema walipinga sana na kusisitiza kuwa lazima tukope.
Leo mama anakopa hadi ela ya kununua chumvi mnaona hiyo haifai, sasa mmesimama kumshangilia Ruto anapoongea kauli ileile aliyoongea JPM.
Tupeni msimamo wa chadema kuhusu kukopa maana siku hazigandi maybe baadae mnawezakamata nchi je mtafanya nini katika agenda ya ukopaji?
View attachment 2471740
Lakini Mama amekopa zaidi ya JPM kwa miaka 5 na yeye mwenyewe kakaa madarakani miaka 2.
Chadema ni mapunguani ndio maana magufuli alikuwa anayatandika bakora na mijeledi.
Na kazivilionekana!
Na alikopa na kuzuia kuibiwa,tofauti na sasa!
Sasa tunakopa halafu tunaziiba zote!
Yule alikuwa mwizi muongo na muuaji, alikuwa anapora pesa za watu bankMwl NYERERE said: Serikali dhalimu duniani kote hazikusanyi Kodi Kwa matajiri,
Hukimbizana na wachuuzi wa mabarabarani Kila kukicha.
Magu alishughulika na matajiri waliomiliki Uchumi Kwa kukwepa KODI.
Nakumbuka Kuna muda Vituo vya mafuta matajiri waliungana Ili kugomea EFD, alimwambia wazifunge, BAADAYE wakaufyata.
Abarikiwe huko aliko.
Magufuli hakukopa? Unamaanisha Magufuli huyu huyu aliyeendesha serikali ya awamu ya 5 au?JPM alipokuwa anasisitiza kupunguza utegemezi wa mikopo kwajili ya maendeleo ya nchi, Chadema walipinga sana na kusisitiza kuwa lazima tukope...
Msimamo wa chadema unaeleweka,, tunapinga aina zote za mikopo,JPM alipokuwa anasisitiza kupunguza utegemezi wa mikopo kwajili ya maendeleo ya nchi, Chadema walipinga sana na kusisitiza kuwa lazima tukope...
DEMOCRACY in most cases ni DEMON CRASIE au Uhuru wa KIPEPO.
CDM watuambie mapema ikiwa USHOGA pia ni Democrasia na HAKI za binadamu mapema kabla hatujawaamini kuwapa DOLA!!
Hakupora mkuu, Nyerere alitaka umiliki sawa wa mapato, haiwezekani wengine wawe matajiri sana, halafu wengine masikini.Yule alikuwa mwizi muongo na muuaji, alikuwa anapora pesa za watu bank
Simple reason, jpm kaacha miradi yake mikubwa ikiwa katika initial stage, na hakuacha pesaLakini Mama amekopa zaidi ya JPM kwa miaka 5 na yeye mwenyewe kakaa madarakani miaka 2.
Hii inahusiana na swali lililoulizwa ?Chadema ni mapunguani ndio maana magufuli alikuwa anayatandika bakora na mijeledi.
Hahaahaa wote tutatandikwaHa
Halafu yeye naye akatandikwa mazima.
Magu rafiki wa maskini aliyedhamiria kusaidia a nao watoke ktk vilindi vya Umaskini.Yule alikuwa mwizi muongo na muuaji, alikuwa anapora pesa za watu bank
Ila CCM mna matatizo sana, ilikuwaje mtu kama Jiwe akawa Rais wa nchi?Lakini Mama amekopa zaidi ya JPM kwa miaka 5 na yeye mwenyewe kakaa madarakani miaka 2.