Chadema nini msimamo wenu kwenye suala la kukopa?



Chadema hawana shida na kukopa, walishaweka wazi wakishinda uchaguzi wataenda kuchukua pesa ya kuendesha nchi ulaya, Asia na America
 
Sasa kama hujui unapata wapi uhalali wa kusema kodi haikisanywi?
We unataka kujua au kubishana?

Vilio vya matajiri Awamu ya 5, ndo uthibitisho kuwa Magu alikusanya KODI.

Uhalisia wa data siezi hangaika nao sababu CCM kudanganya umma walishazoea.

Umeelewa?
 
Sijui ni mtu mjinga kiasi gani anayeamini kuwa Magufuli hakukopa
Ni rais aliyekopa zaidi ndani ya miaka 5 kuliko Kikwete na Mkapa walivyokopa kwa miaka 10
Huyo atakuwa ni msukuma sababu wasukuma walio wengi awaamin kuwa magu alikopa
 
Swali alikopa akukopa je huyo mfu wa muitongo alikopa hakukopa?
 
DEMOCRACY in most cases ni DEMON CRASIE au Uhuru wa KIPEPO.

CHADEMA watuambie mapema ikiwa USHOGA pia ni Democrasia na HAKI za binadamu mapema kabla hatujawaamini kuwapa DOLA!!
Kwani hii katiba iliopa inapinga ushoga?
 
Sijui ni mtu mjinga kiasi gani anayeamini kuwa Magufuli hakukopa
Ni rais aliyekopa zaidi ndani ya miaka 5 kuliko Kikwete na Mkapa walivyokopa kwa miaka 10
Alikopa kiasi gani ?
 
Akili yako kubwa huyu anae mshabikia Magufuli kuwa pokonya matajiri hala zao akili yake imekufa kama alivio kufa magu
 
Tra wamevuka kiwango au la?
 
Hakupora mkuu, Nyerere alitaka umiliki sawa wa mapato, haiwezekani wengine wawe matajiri sana, halafu wengine masikini.

Ndiposa akaitisha azimio la arusha, na kutaifisha viwanda, majumba, na fedha za mabepari,
Akili zako zimejaa funza tena wachooni
 
Ukoo wenu una msimamo gani? Kwa hio huu nchi ni CDM? hivi post kama hizi huwa zinaruhusiwa vipi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…