Elections 2010 Chadema njia ya magogoni nyeupeee!!!!!!!

Elections 2010 Chadema njia ya magogoni nyeupeee!!!!!!!

inategemea na ikiwa CCM wako tayari kuachia nchi na ikiwa wananchi wako tayari kutokubali wizi....

vinginevyo itakuwa kama yale ya ZNZ...."nchi tumechukua kwa mapanga hatukubali kuitoa kwa vipande vya karatasi"

au huku Tanganyika...si ulimsikia Shimbo hapa majuzi...atakaefanya vurugu...

nionavyo ni kuwa safari bado kiasi...siyo hii 2010 wala sifikiri kwa chaguzi nyingine mbili zifuatazo(2015 na 2020) unless some major catastrophic changes zitokee ndani ya CCM!!!!!!!

mabadiliko ni mchakato mkuu siyo lipu lipu kama wengi tunavyodhani na kwa kuzingatia udhaifu wa kielimu walio nao wapiga kura wengi hasa vijijini ambako CCM inaneemeka kwa umaskini wa wananchi....hakika bado tuna safari...

inahitaji mabadiliko ya kizazi kuliondoa hili zimwi....

ni mtazamo tu usijali sana!!!!!!! :moony:
 
Hapo ni wapi mtaalamu?Nipate kujua nguvu ya umma inavyofanya kazi!
 
Back
Top Bottom