Wahana nondo, ila wanataka zamu yao ya kwenda Ikulu, yaani CCM haifanyi kitu kikubwa na wao hawatafanya kitu kikubwa pia. Maana masoko ya bidhaa zetu na kanuni za mchezo wa kuuza na kununua zitabaki kuwa zilezile; sanasana tutabaki vilevile au tutazidi kurudi nyuma zaidi na zaidi.Labda husikilizagi Nondo za heche na Tundu Lissu hebu kazibue masikio yako
ndugu zangu watanzania bado hawajafika huko, bado wanavyo vingi vya kupotezaAfrika yote inafanana? Unataka kusema Botswana na Namibia wanavosimamia rasirimali zao wanafanana na sisi?
Makaa ya mawe yanachumbwa lakini husikii yakitajwa popote pale!
Tume huru ni nzuri lakini tume iwe huru kiasi gani?Kwa unaona bora sisi tusiwe na tume huru tu kwa mifano hiyo??
Hapo je?Una hasira sana. Kila ukiona comment yangu unajisikia kulegea. Endelea kujifanya mwanamke. WATU WAMEKUSHTUKIA HAWAKUTAKI. MIMI ENDELEA KUNIFUATA FUATA ILA SITAKI MABWABWA hata ungejiita miss bantu. Wewe ni mwanaume usijione kama mwanamke.endelea kujisikia kichefu chefu.nataka kila ukiniona sehemu uvurugukiwe
They can not allow their country go to the dogs.Kama Tume ya Zanzibar ingekuwa huru Jecha angefuta ushindi wa Maalim Seif kidhalimu namna ile?
Wewe sifa za Tume huru unazozijua ni zipi?
Hatutaki demokrasia na tume huru ambayo hata muongo, mwizi, shoga, mlaghai anaweza kupenya na kuwa Rais. Watanzania bado wanashinda kutofautisha kati ya ahadi za kweli na ahadi feki, mtu mwenye dhamira nzuri na mwenye dhamira mbaya, halisi na mamluki. Mfano, mgombea anawaambia wapiga kura kuwa Tanzania ina rasilimali nyingi sana kuliko Malaysia na Singapore lakini hata toothpicks tunaagiza kutoka China, hivyo chagueni chadema tuifanye Tanzania kama Malaysia na Singapore.Kilichopoa mbele ya watanzania ni tume huru ya Uchaguzi, hii ndio itakuwa hakkimu sahihi wakuyadhihilsha haya..!!. Hofu ya nini kupata refa ambaye atakuwa huru kufanya maamzi yasiyopendelea upande wowote?.
Hii hoja yako imeniwazisha Sana. Yaani miaka 64 baada ya Tanganyika kupata madaraka na miaka 61 baada ya Tanganyika kuungana na Zanzibar na kuunda Tanzania. Yaani watanzania bado wanashindwa kutofautisha kati ya ahadi za ukweli na Ahadi za uongo?Watanzania bado wanashindwa kutofautisha kati ya ahadi za kweli na ahadi feki...
Kaka bado tunao watanzania ambao wanachagua mtu kwa chakula, T-shirt na kofia, khanga na ahadi tamu, na hao ndio wengi. Chadema nao wameingia kwenye mtego huohuo wa ahadi zilizovunda. Hawasemi namna watakavyofanya ili tanzania ya chadema iwe kama Singapore, kilo ya korosho inunuliwe kwa 10,000, nani atachimba chuma chetu na kututengenezea mataluma ya reli na viwanda vya matrekta hapa, hawasemi walimu wazuri watawapaje na mishahara yao mikubwa, hawasemi namna watakavyofanya ili bidhaa zetu zipenye kwenye masoko yote duniani bila bughudha, hawatuambii namna watakavyofanya ili Trump atuondolee Tafiff kwenye bidhaa zetu na kuturejeshea misaada ya USAID aliyositisha, hawasemi fedha za kufanya tafiti kwa wanataaluma wetu watatoa wapi, hawasemi namna watakavyomnyang'anya mkulima kijembe cha mkono. Muda mwingi ni katiba mpya, tume huru,, Kaakaaa!! Tume huru kwaajili ya nani na kwanini?Hii hoja yako imeniwazisha Sana. Yaani miaka 64 baada ya Tanganyika kupata madaraka na miaka 61 baada ya Tanganyika kuungana na Zanzibar na kuunda Tanzania. Yaani watanzania bado wanashindwa kutofautisha kati ya ahadi za ukweli na Ahadi za uongo?
Sasa miaka yote hiyo CCM na wazazi wake TANU na ASP walikuwa wanajenga Taifa la wajinga?
Hapo wa kulaumiwa ni CHADEMA au CCM?Kaka bado tunao watanzania ambao wanachagua mtu kwa chakula, T-shirt na kofia, khanga na ahadi tamu, na hao ndio wengi.
Ni kuonyesha kuwa watanzania baaaado kabisa kuwa na akili ya kupambanua mambo, bado hawezi ku-link siasa na aina ya shuka wanalojifukika usiku. Wako ambao hawajui kama hata kama cdm ikiingia Ikulu hali yao itabaki ileile au kuzidi kuwa mbaya zaidi. Leo hii ukimuuliza mkenya akwambie kati ya Uhuru Kenyata na Willium Ruto nani ana anfuu kwao watashindwa kukupa jibu la moja kwa moja. Hata wapinzani wanadanganya tu, maana zimwi linalotutafuta liko nje ya mipaka yetu; linakuja kuiba na kuondoka kwa kutumia uzuzu wetu, akili zao na nguvu zao za kifedha, kijeshi na kiteknolojia. Wapinzani wanadanganya pia kama wanavyodanganya CCM.Hapo wa kulaumiwa ni CHADEMA au CCM?
Halafu CHADEMA hawatoi chakula, Khanga, T-shirt au kofia. Sasa utawafananishaje na wanaotoa hivyo vitu?
Kaka hebu sikiliza hoja hizi nyepesi sana za Heche za mlima mrefu, dhahabu, maziwa mapana na marefu. Hivi yeye akiingia Ikulu atafanya nini na dhahabu na samaki hao ili mwananchi wa mbagala asilale na njaa? Kuna wakati mm ninaona ni sahihi serikali kuwazuia watu hawa; hawana tofauti na wahuri wanaouza mafuta ya upako ya korie kujipatia fedha.Hao CCM wanawatumia tu kama toilet paper wakishakuwa hawana kazi nao basi watawatupilia mbali
Wapeni nafasi, wasipoweza watatolewa naoKaka hebu sikiliza hoja hizi nyepesi sana za Heche za mlima mrefu, dhahabu, maziwa mapana na marefu. Hivi yeye akiingia Ikulu atafanya nini na dhahabu na samaki hao ili mwananchi wa mbagala asilale na njaa? Kuna wakati mm ninaona ni sahihi serikali kuwazuia watu hawa; hawana tofauti na wahuri wanaouza mafuta ya upako ya korie kujipatia fedha.
View: https://www.youtube.com/watch?v=2rnV9xwHSgc
Hoja yao kubwa ni WATAKINUSHA.Tundu raia wa Ubeligiji , LEMA raia wa Canada.Watoto wao wote wapo kwenye hizo nchi,hawapo hapa. AMKENI VIJANA !!Kuna vitu vizuri na vibaya ambavyo watanzania wanavijua kuhusu CCM, Serikali, viongizi na Katiba yao, lakini wananchi bado wanaona kuwa mazuri bado ni mengi kukiko mabaya yao.
Ndio maana bado watu wanavaa mashati ya kijani mitaani bila hofu. Watanzania pia wanafahamu mazuri na mabaya ya vyama na viongozi wa upinzani lakini bado wanaona mabaya yao ni mengi kuliko mazuri, ndio maana mitaani kuko shwari hata kama viongozi wa upinzani wakikutana na masahibu gani ya kisiasa.
Na hii inatokana na viongozi wa upizani kuwa na tabia ya kuorodhesha matatizo tu bila kusema wao watafanya nini kuyaboresha katika mazingira kama haya ya dunia ilivyo. Kuna wakati wapinzani wanarudi CCM kila wakinyimana maslahi kuonyesha kuwa dhamira zao ni maslahi yao tu sio shida za wananchi orodha ya wapinzani waliorejea CCM ni ndefu sana na inayokatisha tamaa wananchi kuviamini vyama hivi kama vyama kimbilio kwao.
Kama utadhani kuwa hakuna watu wameichoka CCM utakuwa unakosea tena sana. Inafahamika kuwa ccm imekusanya watoto wanaccm wa zamani na sasa kuwapa zawadi na fadhila za kutuongoza hata kama wengine hawana uwezo wa kuongoza. Lakini hawaoni nani wa kumpa uongozi mbadala wa ccm bado.
Kuna kiongozi wa upinzani unasema naaam huyu ni madhubuti, lakini mara utasikia ameenda au amerudi ccm.
Kama tukiweza kupata katiba mpya itakayo set standards nzuri, tukapata tume huru ya Uchaguzi ambayo ipo neutral, na vyombo vya ulinzi na Usalama vikawa unbiased, nakuhakikishia hata kama Lissu akiingia madarakani akafanya ndivyo sivyo basi na yeye Kwa uhakika atatolewa Kwa harakaDuuuuh kakaaa!! Ikulu ni tamu. Lissu akiingia Ikulu hatoki tena, ni zamu yao ya kutesa na cCM kuteseka.
Imani ya watanzania kwa upinzani inaendelea Kutiwa doa namna hii.Kilichopoa mbele ya watanzania ni tume huru ya Uchaguzi, hii ndio itakuwa hakkimu sahihi wakuyadhihilsha haya..!!. Hofu ya nini kupata refa ambaye atakuwa huru kufanya maamzi yasiyopendelea upande wowote?.