Katibu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Wilaya ya Nyamagana mkoani Mwanza, Amos Ntobi, amesisitiza kuwa CHADEMA haitakubali kufanyika kwa uchaguzi wowote wa kitaifa ikiwa hakutakuwepo na maboresho na marekebisho katika mifumo ya uchaguzi.
Akizungumza na Jambo TV kuhusu kauli ya "No Reform, No Election," Ntobi amesema lengo la CHADEMA si kujitoa kwenye uchaguzi, bali kuhakikisha kuwa uchaguzi hautafanyika kabisa ikiwa hakuna mabadiliko ya kweli katika mifumo ya uchaguzi.
"Tunapozungumzia 'No Reform, No Election,' hatutumii dhana ya kutoshiriki uchaguzi, bali tunamaanisha kuwa uchaguzi hautakuwepo kabisa. Hii siyo kuhusu vyama kujitoa, bali ni kuhusu kutumia nguvu za wananchi kuhakikisha kuwa hakuna uchaguzi utakaofanyika ikiwa hakuna maboresho”, amesema Ntobi.
mnadhani hii nchi ya kwenu pekeyenu kuna vyama vingi sana ambavyo viko tayari kushiriki uchaguzi yaani chadema pekeyake ndiyo waahirishe uchaguzi yeye kama nani? YAAANI MIIFANAY FUJO WAKATI WENYE AKILI WAKIFANAY UCHAGUZI MTAPIGWA MPAKA MNYOOKE/MCHAKAE na uchaguzi ukiisha tukutene 2030 nyie mnauguza makovu wengine hamna miguu wengine hamna vichwa

Too late, constitutional process inahitaji white paper, detailed coslnsultations na wadau.
Kama maandalizi ya harusi yamekamilika halafu mtu akafa, watu huendelea na harusi, baadae ndio taarifa za msiba zinasambazwa. 2025 October watu watapiga kura. NY is bakini na theories. Kwenye mitaa mngakuwa na theories kama hizo, mngekuwa hamna hata kiongozi mmoja.
Mpaka tunavyoongea, michakato ya maandalizi ya uchaguzi yako advanced stage, ikiwamo tendering process
Too late, constitutional process inahitaji white paper, detailed coslnsultations na wadau.
Kama maandalizi ya harusi yamekamilika halafu mtu akafa, watu huendelea na harusi, baadae ndio taarifa za msiba zinasambazwa. 2025 October watu watapiga kura. NY is bakini na theories. Kwenye mitaa mngakuwa na theories kama hizo, mngekuwa hamna hata kiongozi mmoja
mnadhani hii nchi ya kwenu pekeyenu kuna vyama vingi sana ambavyo viko tayari kushiriki uchaguzi yaani chadema pekeyake ndiyo waahirishe uchaguzi yeye kama nani? YAAANI MIIFANAY FUJO WAKATI WENYE AKILI WAKIFANAY UCHAGUZI MTAPIGWA MPAKA MNYOOKE/MCHAKAE na uchaguzi ukiisha tukutene 2030 nyie mnauguza makovu wengine hamna miguu wengine hamna vichwa
Kama ni kupigwa watu wameshapigwa sana, ila safari hii chaguzi za kihuni kuhalalisha ccm kukaa madarakani haitawezekana. Lazima safari tuumie wote ili tuheshimiane.