Chadema officially begins to disturb tanzania. Let us be watchful

Mungu nyie mnae? Waongo, wachonganishi, wazandiki na kila sofa mbaya mnayo, Mungu mumtoe wapi nyie, huna hata aibu ww, Mungu kaagiza mtii mamlaka husika nyie mnatii nn?
Hebu kunywa maji, una haraka gani? Twende taratibu, hili andiko umelisoma? Tuanzie hapa, wala usipaniki!
 
Mungu nyie mnae? Waongo, wachonganishi, wazandiki na kila sofa mbaya mnayo, Mungu mumtoe wapi nyie, huna hata aibu ww, Mungu kaagiza mtii mamlaka husika nyie mnatii nn?
Hii nchi ni ya vyama vingi vya upinzani,uanadhani kazi ya upinzani ni IP?

Tutii mamlaka ya shetani ccm?,hamnaga hiyo
 

Mhhhhh. Kinge Sasa ndo jambo
 
Mbona siwaoni vijana wa uvccm humu? kwenye ule uzi wa kiswahili wamejaa kama nzi kwenye kinyesi
 
Rabbish from jalalani!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…