Rev. Kishoka
JF-Expert Member
- Mar 7, 2006
- 4,526
- 1,540
CCM wameshaamua nani watawawakilisha kwenye Ubunge, wamechuja chuya, wametupa makapi na mizoga.
Sasa natoa tahadhari kwa CHADEMA; Ole wenu mkiipokea hii mizoga ya CCM na kuipa kadi na hata kuwafanya wagombea wenu kwenye majimbo, mtajishushia hadhi na kuonekana chama kisicho na maana na ni hifadhi ya mizoga na makapi.
Jiulizeni kwa nini hawa mizoga, makapi na pumba kwa nini walisubiri kuenguliwa na CCM ndipo wakakimblia kwenu? Kwa nini tangu awali hawakufanya uamuzi wa kuhamia CHADEMA kabla ya kushindwa ndani ya CCM na hivyo baada ya kutalikiwa wanakuja kwenu nanyi mnawapa Ufestiledi kwenye majimbo?

Mkuu siasa ni comprimize we need Raila's caliber to excell on our change agenda! tusibague watu kisa hawakufanya maamuzi kwa wakati muafaka!kama ni wasafi na sizoga, kwanini walisubiri hadi watoswe???
Nafsi na nadhiri ni muhimu sana, as far as i am concerned, hawa ni mizoga tu, if they were clean, they would have left before conclusion of primaries and nominations
Kila mtu atahukumiwa alivyo na kwa aliyoyafanya; hivyo waacheni chadema nao wachambue huenda ndani kuna almasi iliyofichika.
nimeipenda hii mkuu, je why did they wait until watoswe rasmi??? and then waje kuwareplace akina regia and rachel and many more committed chadema young blood?? if they are really for change and if they love their country five year from now is not too much to wait considering that we have had more than fourty years after independency, waje chadema lakini wasigombee... CHADEMA SHOUDL NOT BE A CONDUIT FOR POLITICAL BITHCESMkuu siasa ni comprimize we need Raila's caliber to excell on our change agenda! tusibague watu kisa hawakufanya maamuzi kwa wakati muafaka!
THANKS REVRev. Kishoka,
Mkuu mimi nakubaliana na wewe kama hoja ni kupewa majimbo hawa jamaa ya kugombea uchaguzi huu....Lakini nadhani kupokelewa kama wanachama wapya inaruhusiwa sana tu na inaongeza sura ya chama Chadema..
Hoja ni hawa watu kusimama kugombea majimbo au uongozi wa chama ndio waisipewe hadi watakapo weza kukaa kwa muda ndani ya chama. Kwa vile uchaguzi wetu ni miaka mitano mitano basi next uchaguzi wakiwa bado wamebakia Chadema watapewa nafasi ya kugombea lakini sio sasa hivi..
Ila nakubaliana na mawazo ya kwamba kwa kila mwana CCM kuhesabika kahamia Chadema inaongeza nguvu ya chama sii lazima wagombee uongozi lakini kuikubali Chadema na sera zake ni mwanzo mpya wa kuvutia wananchi.
Mchungaji;
1. Tunae Dr slaa .... He was a reject! ...But Now see!!?
2. Kuna makundi mawili ya hao reject. a. Realy apportunist b. Real character kama Dr slaa vile!
3. Wale safi wamehukumiwa kwa Credibility na Nobility zao .... CHADEMA Pls .. dont reject this ones!!