CHADEMA onyesheni njia kwenye janga la COVID-19

Papa D

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2010
Posts
752
Reaction score
182
Kipindi hiki cha covid-19 ndicho halisi kupima mvuto na ushawishi wa chadema. Tuonyesheni ushawishi wenu kwa kuwatangazia wapenzi wenu wajifanyie lockdown ili tushuhudie nchi inasimama kwa kuwa watanzania wote watakuwa lockdown. Kama mtashindwa kuthibitisha hilo basi hapa tutaamini Nyinyi ni wazugaji tu!
 

Attachments

  • F4CDC9C0-1E68-40B1-AAE9-4CE0FF1E154E.jpeg
    51.4 KB · Views: 13
Mwenye mamlaka ya kusema lolote kuhusu Corona ni serikali!
 
Acha kupost ujinga, chadema sio chama cha majambazi makufu na bashite
 
NAONA KAMA HUJITAMBUI VILE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…