Kuliwahi kutokea wakati wowote katika siasa za Tanzania Chadema iliwahi kuwa na ushawishi wowote wa maana Zanzibar?, wamewahi kuwa na shehia hata moja?, mwakilishi hata mmoja?, mbunge hata mmoja?.Kamwe hakuna chama kinachoweza kukamata dola ya Tanzania bila kuwekeza vyema kwa wafuasi wengi wa Tanzania bara na Tanzania visiwani.
Siasa za sasa za Chadema zimeegemea bara na zimejipeleka katika kupoteza ushawishi ndani ya visiwa vya Zanzibar....hivyo hakuna namna wanaweza kuimamata dola kwa kosa hili la kimkakati.
Walichokipata kikubwa CHADEMA kutoka Zanzibar ni chama chao kufungiwaKuliwahi kutokea wakati wowote katika siasa za Tanzania Chadema iliwahi kuwa na ushawishi wowote wa maana Zanzibar?, wamewahi kuwa na shehia hata moja?, mwakilishi hata mmoja?, mbunge hata mmoja?.
P
Hoja yako haina mashiko. Katiba yetu haina kima cha chini cha kura za Zanzibar kinachotakiwa ili mgombea atangazwe kuwa mshindi wa kiti cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mgombea anaweza kupata hata 1% tu ya kura za Zanzibar na bado akawa mshindi wa kiti cha Rais.Kamwe hakuna chama kinachoweza kukamata dola ya Tanzania bila kuwekeza vyema kwa wafuasi wengi wa Tanzania bara na Tanzania visiwani.
Dr Wilbrod Slaa na Marehemu Edward lowassa walitambua hili na waliwekeza katika hili.
Siasa za sasa za Chadema zimeegemea bara na zimejipeleka katika kupoteza ushawishi ndani ya visiwa vya Zanzibar....hivyo hakuna namna wanaweza kuimamata dola kwa kosa hili la kimkakati.
Ni CCM pekee imeweza kubalance ushawishi huu muhimu kwa muda wote
Said issaKuliwahi kutokea wakati wowote katika siasa za Tanzania Chadema iliwahi kuwa na ushawishi wowote wa maana Zanzibar?, wamewahi kuwa na shehia hata moja?, mwakilishi hata mmoja?, mbunge hata mmoja?.
P
kwani asilimia 1 ni ndogo?Hoja yako haina mashiko. Katiba yetu haina kima cha chini cha kura za Zanzibar kinachotakiwa ili mgombea atangazwe kuwa mshindi wa kiti cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mgombea anaweza kupata hata 1% tu ya kura za Zanzibar na bado akawa mshindi wa kiti cha Rais.
ndio sababu ya muda wote ya kushindwa na CCMKuliwahi kutokea wakati wowote katika siasa za Tanzania Chadema iliwahi kuwa na ushawishi wowote wa maana Zanzibar?, wamewahi kuwa na shehia hata moja?, mwakilishi hata mmoja?, mbunge hata mmoja?.
P
Muungano ni msingi wa Taifa hili...Hivi iweje iwe ni lazima kuwa na wanachama bara na visiwani?
Kama wao waliunganisha vyama vyao vya bara na visiwani ni wao.
Ila kulazimisha kila chama ni lazima kiwe na wanachana pande zote ni uonevu kwa sababu tunawajua ndugu zetu wa upande wa pili ni wanafiki.
Sasa Chadema na Zanzibar wapi na wapi??
Wanatuchelewesha sana kwa sheria kandamizi kama hii.
CHADEMA hawawezi kuipata?kwani asilimia 1 ni ndogo?
Hata wanachama wao pekee yake wanatosha!wanaweza kama wakifanya siasa safi
CDM tunapambania uhuru wa Tanganyika toka mikononi mwa wazanzibariKamwe hakuna chama kinachoweza kukamata dola ya Tanzania bila kuwekeza vyema kwa wafuasi wengi wa Tanzania bara na Tanzania visiwani.
Dr Wilbrod Slaa na Marehemu Edward lowassa walitambua hili na waliwekeza katika hili.
Siasa za sasa za Chadema zimeegemea bara na zimejipeleka katika kupoteza ushawishi ndani ya visiwa vya Zanzibar....hivyo hakuna namna wanaweza kuikamamata dola kwa kosa hili la kimkakati.
Ni CCM pekee imeweza kubalance ushawishi huu muhimu kwa muda wote