Africa is for Africans, Tulimtaka kiongozi aina ya Magu na Mungu katupatia. We thank you God
Whatever bro, hii ni vita ya maendeleo, yaani lazima rejects wawepo. Kama kijana nasimama na Rais wangu JPM mpaka 2025.
As a country we still have a lot of projects to run, your noises have never been a major hindrace to us.
Hujielewi na huelewi mising ya kiuchumi
Katika vyote unafanya katika ulimwengu jaribu kupima wangapi wapo upande nawe ukiona katika 10 wamebaki wawili tu na hao sababu wananufaika na wewe rudi utengenezeIts ok Tundu Lissu ndio anaielewa.
Katika vyote unafanya katika ulimwengu jaribu kupima wangapi wapo upande nawe ukiona katika 10 wamebaki wawili tu na hao sababu wananufaika na wewe rudi utengeneze
Kiburi kilimfikisha Hitler pale alipo ijapokuwa alikuwa na mtazamo na propaganda nchi kwanza hakawa hashauriki kila kitu anajua yeye leo tunaona legacy alioiacha
Maendeleo yake ndani ya miaka 6 yaliigharimu ujerumani kwa zaidi ya miongo minne
mimi nimekuja na facts......sahihi wewe ndo unakelele sababu unazungumza bila vielelezo .....ni aina ya wale wanaitwa bendera fuata upepo