CHADEMA pigeni Kura za Wazi kama Bungeni Ili Chama kikifa tuwajengee Mnara waliokiua, Wajumbe 1200 ni Muafaka kabisa Kwa Kura za Wazi!

Gari la Lissu tunaomba mchamgo wenu hizo 30m hazitoshi.
Bashe peke yake kachangia Ujenzi wa ukumbi wa CCM Nzega Tsh million 360

Muuzieni huo mkutano wenu awabebe na hao mabilionea Uchwara wa Machame πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
nyie kweli wasengerema πŸ’©πŸ’©πŸ’©
Uchaguz wa CDM mnaushikia bango wakat chama chenu hakuna mtu anaruhusiwa kuulizia hata fomu ya kugombea...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…