CHADEMA piteni humu kurudisha imani kwa wananchi

CHADEMA piteni humu kurudisha imani kwa wananchi

Wao (chadema) watafanya nini kurekebisha udhaifu huo wa ccm.. nafikiri pamoja na ukosoaji, chama cha siasa watueleze sera zao kujibu hoja za wananchi.
 
Suala la ajira kwa Tanzania linatatuliwa kama viongozi wasipokuwa wabinafsi.

Kila sekta nchi hii ninachangamoto ya raslimali watu.

Hili chadema wakikaa vizuri wakaja namna gani watalifanikisha.

Nawahakikishia 100% wanachukua kula nyingi sana. Kwatafiti za karibuni kila kaya 10 kuna kaya 7. Kunajobless
 
Wao (chadema) watafanya nini kurekebisha udhaifu huo wa ccm.. nafikiri pamoja na ukosoaji, chama cha siasa watueleze sera zao kujibu hoja za wananchi.
nilichoandika hapo uelewi au ndo uwezo wa kufikiri mdogo. soma juu hapo uelewe
 
Back
Top Bottom