hawawezi sema alipo wanaogopa ile reaction ya watu wa kanda maalum!Chama Cha Demokrasia na Maendeleo chadema kupitia kurasa zake za mitandao ya kijamii kimesema kuwa wamefika katika kutuo cha Polisi Sirari ambapo hapo jana Jeshi la Polisi ilisema kuwa Heche amesafirishwa Kutoka Da es Salaam hadi hadi kituo hapo lakini mpaka leo Makamu mwenyekiti hajafikishwa kituoni hapo.
Pia Soma:
View attachment 3492225
- John Heche akamatwa akiwa Mahakama Kuu akijiandaa kuhudhuria kesi ya Tundu Lissu
- Wakili Gaston Shundo: Polisi wamesema Heche hayupo DAR amesafirishwa kupelekwa Tarime
Basi wamuache, kwani kosa lake ni lipi?hawawezi sema alipo wanaogopa ile reaction ya watu wa kanda maalum!
Mawazo ya KinyumbuWatakuwa wameshamuua na kumtupa pori la Katavi . Samia amechagua kutoka madarakani kwa njia ya fedheha kubwa. Damu hizi anazomwaga kamwe haziwezi kumuacha salama malipo yake yatakuwa hapahapa duniani.
Hamna kitu kama hicho huyo wanampango wa kumuua yaani polisi wawaogope wananchi wa tanzaniahawawezi sema alipo wanaogopa ile reaction ya watu wa kanda maalum!
Kupendwa na wananchi kuliko rais aliye madarakani ni kosa kisheria tanzaniaBasi wamuache, kwani kosa lake ni lipi?
Ridhiwani na Abdul wanaweza kuamuru auawe kwamba amekuwa msumbufu, toka Ridhiwani alipokabidhiwa hukumu la ‘kumuhifadhi’ Polepole ndiyo imeonekana jinsi alivyokamatia mambo yaliyo ya moto.Chama Cha Demokrasia na Maendeleo chadema kupitia kurasa zake za mitandao ya kijamii kimesema kuwa wamefika katika kutuo cha Polisi Sirari ambapo hapo jana Jeshi la Polisi ilisema kuwa Heche amesafirishwa Kutoka Da es Salaam hadi hadi kituo hapo lakini mpaka leo Makamu mwenyekiti hajafikishwa kituoni hapo.
Pia Soma:
View attachment 3492225
- John Heche akamatwa akiwa Mahakama Kuu akijiandaa kuhudhuria kesi ya Tundu Lissu
- Wakili Gaston Shundo: Polisi wamesema Heche hayupo DAR amesafirishwa kupelekwa Tarime