Arsenal Gunner
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 10,891
- 17,718
Hawana uwezo huo wakilambwa risasi tu hutoona mtu barabarani watanzania bado sana kwenye shoo za wakenyaTarime fanyeni kama juzi watamtoa walipomficha. Msisinzie wala msilale ingieni kazini kumtafuta Heche.
Chadema huwa hamsomi alama za nyakati. Mliacha vipi aende bila wakili?

Ndio ameshaenda hivyo harudi tena huyoMkikaa kizembe harudi mjiongeze
MO 29 au sio?Tutafika tu huko wanakotupeleka, haya maumivu wanayoyagawa kwa raia ipo siku tutajibu mapigo.