Mimi nadhani Mheshimiwa Mbowe alitaka ukuaji wa demokrasia ndani ya chama chake na ndani ya nchi yake.
Hakuwa mchoyo wala Mungu mtu, kuwafua vijana bila ubaguzi kufadhiliwa na Chama chake katika ujenzi wa demokrasia.
Sasa Mh Mbowe kapokwa madaraka kaja Mwenyekiti mpya Demokrasia ndani ya chama kwake ni makofi,viboko kwa wale wasiokubaliana na Stalin.
Kwa ufupi Chadema imebadilika labda kwa mazuri au kwa mabaya kutegemea upo upande gani.Lakini maamuzi ya kutumia mkono wa chuma ndio unakifanya Chadema kuwa chama chakavu.