Uchaguzi 2020 CHADEMA pumzi imekata, Bernard Membe asakwa

We jidanganye wenzako ccm wamechoka mpaka wanakata BBC Radio
 
Duuh..nani amekuandikia hii?? Mbona nakuamini sana mzee... There must be sthing wrong hii sio akili yako ninayoifahamu!
 
MATAGA mnahangaika kama mnataka kutaga.

Kama amechuja mbona vyombo vyote vya habari mmevipiga mkwara visiripoti habari za Tundu Lissu?
 
Watakosa agenda katika nchi ambayo asilimia kubwa ya wananchi ni masikini wa kutupwa, wagonjwa kwa kukosa elimu yenye manufaa, nchi isiyoweza kuzalisha ajira.
Hembu hesabu zimeshafika agenda ngapi kwa uchache.
Semeni mnajivunia kutokujitambua kwa watanzania.
 
Ulimuaga mkeo au mumeo kuandika uchafu huku jf? Kweli team Lumumba kuna wajinga. Lisu huwezi linganisha n Mzee mamvi yske ilikuwa chamtoto. Wako waliompandisha lisu kwa makosa yao yale y tu tu tu tu ss wataisomba namba wao
 
Tangu Mgombea wao achaguliwe hakuna mwanasiasa yeyote maalufu kutoka chama chochote aliyejitokeza na kumuunga mkono tofauti na wafuasi walewale wakati wa Lowasa CCM kilimeguka na hii iliwapa nguvu CDM.
Hapa unamsema mzee Membe sasa..
 
Lissu hana sera zaidi ya RISASI, RISASI
Huna ulijualo zaidi ya kudanga? Hoja kwenu ni sgr, stigler na midege yenu mibovu na miflyover! Au mna jipya msimu huu?
Nakutuma ukamwabie huyo father ako asiyejua kuwa, huku kwetu hatuna shida na hayo maflyover, madege, sgr Wala stiglers Bali majisafi na dawa hospitalini!
 
"Mugombea" ndo nini? Mbona hii thread ina muonekano wa kiMeko Meko?
 
Endelea unashusha nondo za ukweli, hawa wanao kusulubi ni wapiga kelele tu, sioni point wanayo iibua kuuwa ulichokisema. Kama wanao ushahidi kinyume na uliyo sema mnatakiwa muyaseme.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…