Uchaguzi 2020 CHADEMA pumzi imekata, Bernard Membe asakwa

Mkuu pole sana kwa mawazo yako. Nakuomba rejea clip zinazomwonyesha lisu akichangia bungeni kwenye mijadala ya masilahi mapana ya Taifa hili....hapo utaona uwezo wa lisu katika hoja. Pia nakuomba kapeni zikianza shuhudia ufunguzi wake uone anaongea nini .
 
Rudi shule kasome tena unatakiwa kurudia chekechea. ELIMU ELIMU ELIMU. Mataga kwenu shule ni sawa sawa na jela
 
Mimi natangulia kukufyekelea mbali,

Umejitungia hufai kabisaa
 
Hii ndio wazungu wanaita "Demonstration". Kazi bado na hatutaki risasi, tunataka hoja tu.
 
Asiye na sera hawezi kupigwa risasi bwana usitudanganye. Nyie kama mnazo hizo sera kwa nini msizitumie mtumie mtutu. Bure kabisa.
 
Hapana Lissu hajachuja kwani kampeni za Chadema zimeshafunguliwa rasmi? Subiri kipimo kitaanzia pale kwenye ufunguzi mpaka kufunga kampeni uenda anazo nondo za kutosha. Tazama.

LISSU WILL NEVER BE UNDERSTOOD IN THIS COUNTRY FOREVER...HE LOOSE GREAT POINT AT THAT TIME AND NOW THE GAME IS OVER...LET'S MEMBE WITH HIS HYPOCRITICAL MEMES TO SEE.....MWANA KULI-FIND, MWANA KULI-GET........MEMBE NI MNAFIKI NDIYO MAANA ANAONEKANA KUWA NA NGUVU HAKUNA KINGINE, KUNA WATU WA CCM WANAMPA UMBEYA WA KUMMALIZA YEYE MWENYEWE BILA KUJIJUA...UKIWA MROHO UTALISHWA NYAMA YA NGURUWE BILA KUJUA
 
Delete cc
Delete ccm Oct 28
 
Sera kubwa atakayoinadi na kukubalika na mabeberu ni ushoga
 
Wewe usha delete tayari. Watanzania hawawezi delete kirahisi kwa kuwapa watu wasio Amini Mungu hii nchi
Mngekuwa mna mwamini mungu msingekuwa mnateka watu na kuwaua au kuwabambikizia kesi
 
Kusoma haujui hata picha huoni mzee,Tukuletee maandishi yenye nukta nundu?? NI YEYE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…