CHADEMA, ripoti ya CAG inakuwa nzuri inapoigusa Serikali; kikiguswa chama chenu mnakaa kimya

CHADEMA, ripoti ya CAG inakuwa nzuri inapoigusa Serikali; kikiguswa chama chenu mnakaa kimya

Ritz

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2011
Posts
51,303
Reaction score
40,190
Wanaukumbi.

CHADEMA ILITUMIA MILIONI 377 NJE YA BAJETI

Ukaguzi umebaini Tsh. 100,000,000 zilitumika kwa shughuli ambazo hazikuwepo kwenye bajeti Chama kilinunua Magari 5 kwa 227,430,000 na kutumia 50,000,000 kununua nyumba ya Ofisi Kanda ya Serengeti.

Ripoti ya CAG ukurasa 266, imebainisha kuwa kuna mkopo ambao haukuthibitishwa mapokeo yake. Agosti 26 Sh 866 milioni zililipwa kwa
mwanachama kwa niaba ya chama nje ya deni hilo, kwa ajili ya mabango.

Sh765 milioni zililipwa kwa mwanachama kama marejesho ya fedha hizo bila kuambatanisha makubaliano ya kisheria."

Nyie ndiyo mtakaka Katiba Mpya.
 
Ripoti ya mwaka gani hii? Au ndio Ile ya Enzi za DC Mashinji wa Serengeti?

Ujinga NI kipaji, kiendeleze kwani unacho!!

Joto la Dr.Slaa ndio limekufikia Muda huu!?
 
Ripoti ya Mwaka gani? Isijekuwa unajitungia Mambo yako unayajua mwenyewe.
 
Ili upaone CDM kama motoni, yakukute yafuatayo:

1. Ukosane au kupishana kauli na Mbowe.

2. Hoji chochote kuhusu matumizi ya pesa za Ruzuku, michango na misaada ndani ya chaggadema
 
Wanaukumbi.

CHADEMA ILITUMIA MILIONI 377 NJE YA BAJETI

Ukaguzi umebaini Tsh. 100,000,000 zilitumika kwa shughuli
ambazo hazikuwepo kwenye bajeti
Chama kilinunua Magari 5 kwa 227,430,000 na kutumia

50,000,000 kununua nyumba ya Ofisi Kanda ya Serengeti.

Ripoti ya CAG ukurasa 266, imebainisha kuwa kuna mkopo ambao haukuthibitishwa mapokeo yake. Agosti 26 Sh 866 milioni zililipwa kwa
mwanachama kwa niaba ya chama nje ya deni
hilo, kwa ajili ya mabango.

Sh765 milioni zililipwa kwa mwanachama kama marejesho ya fedha hizo bila kuambatanisha makubaliano ya
kisheria."

Nyie ndiyo mtakaka Katiba Mpya
Comment za nyumbu za hovyo Sana. Hakuna hata mmoja anaelewa ila Hadi leo wanaimba ufisadi CCM.
JamiiForums1051490604.jpg
 
Wafuasi wa chadema huwa nawafananisha na wale wafuasi wa mfalme Zumaridi wa Mwanza.

Huu ndio ukweli...mabingwa wa kukaririshwa.

Maamuzi yao ni kama ya wale migrators wa Serengeti na Maasai Mara.
 
Wafuasi wa chadema huwa nawafananisha na wale wafuasi wa mfalme Zumaridi wa Mwanza.

Huu ndio ukweli...mabingwa wa kukaririshwa.

Maamuzi yao ni kama ya wale migrators wa Serengeti na Maasai Mara.
Hahahha
 
Back
Top Bottom