johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Mwenyekiti wa Chadema Mbowe ametangaza kuwa sasa Maandamano yatakuwa Utamaduni wa maisha ndani ya Chama chao.
Source: Chadema Tz
Source: Chadema Tz
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli tupuMwenyekiti wa Chadema mh Mbowe ametangaza kuwa sasa Maandamano yatakuwa Utamaduni wa maisha ndani ya Chama chao
Source: Chadema Tz
Ngoja tuoneKweli tupu
CCM ni matapeli tupuNgoja tuone
Kwahiyo unamuomba Mungu akuletee Dikteta mwingine?Tutaweka akiba ya matamshi yao.
Hakuna anaye tawala kwa milele.
Tutakumbushana tu.
Kwa hiyo unasema Mbowe ni Dikteta.Kwahiyo unamuomba Mungu akuletee Dikteta mwingine?
Mungu sio mjinga Dua na Sala zetu Watanzania zilishapokelewa.