charityboy
Senior Member
- Nov 11, 2010
- 138
- 4
Hapo ndipo mwisho wa uwezo wako wa kufikiri au bado unaendelea................tusubiri.chadema hata wanachokitaka kwenye hio katiba wanacho?
hawa watu wa kudandia tu
hata wao kama chama wanafata mrengo gani hawajui, hawajijui kama ma capitalist au masocialist au liberal au?
hawajifahamu ni chama cha wehu watupu, na ukiwa si mwehu unashtuka mapema mfano zitto na shibuda
Wana CDM wenzangu, napenda kutoa ushauri kwa viongozi wetu wa chama na wabunge wetu CDM kuwa tumshukuru rais wetu KIKWETE kwa kukubali kuunda katiba mpya. Tunachotakiwa hivi sasa ni kujipanga namna ya kutoa MAONI yetu katiba iweje. Tusianzishe vurugu wala kuzusha mengine. Lazima tukubali kuwaweka sawa baadhi ya viongozi wetu wa chadema na wabunge kuhusu katiba, kwani wanatabia ya kutafuta SIFA BINAFSI ili wapate kuchaguliwa lakini tunaoumia ni sisi wananchi. Vinginevyo tutaonekana ni watu wa VURUGU.
chadema hata wanachokitaka kwenye hio katiba wanacho?

Hawa watu wa kudandia tu

Hawajifahamu ni chama cha wehu watupu, na ukiwa si mwehu unashtuka mapema mfano zitto na shibuda

Hivi ni wapi ambapo Rais Kikwete ameahidi Katiba Mpya?