Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Baadhi ya wagombea nafasi za uongozi ndani ya CHADEMA wilayani Serengeti wameeleza changamoto walizokumbana nazo katika harakati zao za kisiasa. Wameeleza kuwa rufaa walizowasilisha kupinga matukio hayo zimekataliwa, wakidai kuwa haki haikutendeka. Hata hivyo, wamesisitiza kuendelea kupigania demokrasia na haki kwa wananchi.
Pia, Soma: Rufaa za CHADEMA Simiyu zagonga mwamba. Wagombea 200 waenguliwa