Pre GE2025 CHADEMA si ile yenye uwezo wa kukemea Rushwa na Ufisadi

Pre GE2025 CHADEMA si ile yenye uwezo wa kukemea Rushwa na Ufisadi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Li ngunda ngali

JF-Expert Member
Joined
Jun 22, 2023
Posts
707
Reaction score
2,572
Kwa walio ushuhudia umri wa CHADEMA tokea kianzishwe ni wazi haupo wakati Chama hicho kinashuhudia wimbi la utengano uliyo bayana kama siku za hivi karibuni.

Kutuhumiana wazi wazi pasi na uficho kuhusu rushwa, ghiriba na ufisadi wao kwa wao ndani ya Chama ni hoja endelevu hadi wakati huu isivyo zoeleka.

Kuelekea 2025 - SWALI: Ikiwa ndani ya CHADEMA pia kuna harufu ya rushwa, ipo haja ya kupata chama kingine cha upinzani wa Kweli?

Viongozi, Wanachama na hata wafurukutwa wa Chama hicho kwa sasa wapo kwenye sintofahamu iliyo kuu hasa ikiletelezwa na namna ya kutafisiri tuhuma hasa za baadhi ya Viongozi wao Wakuu wakizielekeza kwa wenzao kukubali kupokea rushwa kutoka nje ya Chama hali inayopelekea ufisadi ndani ya Chama ukite mizizi.

Chama kilichokuwa kimejipambanua kukemea mafisadi na ufisadi sasa kinanuka rushwa na ufisadi!

Chama kilicho aminika ni kioo cha wakemea maovu sasa kinakaribisha uovu ndani yake!

Chama kilichotarajiwa kuwa mkombozi wa Wanyonge sasa kinashiriki kutaka kuwa dhurumu wanyonge kwa kukaribisha wezi na mafisadi ndaniye!

Kwa muktadha huo bado CHADEMA kinapaswa kuendelea kuaminiwa kama Chama tarajiwa cha kuwakomboa Wanyonge wa Nchi hii?

Kwa maoni yangu kwa kuruhusu ufisadi na rushwa kupenya ndani ya Chama hakika sikioni Chadema kikiendelea na sifa yake iliyo zoeleka ya kuukemea ufisadi na mafisadi na hii ni kwa sababu wanaishi nao.
 
Nani alifanikisha mbowe kutoka gerezani halafu kwenda IKULU ?Tuanzie hapo
 
Kwa walio ushuhudia umri wa Chadema tokea kianzishwe ni wazi haupo wakati Chama hicho kinashuhudia wimbi la utengano uliyo bayana kama siku za hivi karibuni.

Kutuhumiana wazi wazi pasi na uficho kuhusu rushwa, ghiriba na ufisadi wao kwa wao ndani ya Chama ni hoja endelevu hadi wakati huu isivyo zoeleka.

Viongozi, Wanachama na hata wafurukutwa wa Chama hicho kwa sasa wapo kwenye sintofahamu iliyo kuu hasa ikiletelezwa na namna ya kutafisiri tuhuma hasa za baadhi ya Viongozi wao Wakuu wakizielekeza kwa wenzao kukubali kupokea rushwa kutoka nje ya Chama hali inayopelekea ufisadi ndani ya Chama ukite mizizi.

Chama kilichokuwa kimejipambanua kukemea mafisadi na ufisadi sasa kinanuka rushwa na ufisadi!

Chama kilicho aminika ni kioo cha wakemea maovu sasa kinakaribisha uovu ndani yake!

Chama kilichotarajiwa kuwa mkombozi wa Wanyonge sasa kinashiriki kutaka kuwa dhurumu wanyonge kwa kukaribisha wezi na mafisadi ndaniye!

Kwa muktadha huo bado Chadema kinapaswa kuendelea kuaminiwa kama Chama tarajiwa cha kuwakomboa Wanyonge wa Nchi hii?

Kwa maoni yangu kwa kuruhusu ufisadi na rushwa kupenya ndani ya Chama hakika sikioni Chadema kikiendelea na sifa yake iliyo zoeleka ya kuukemea ufisadi na mafisadi na hii ni kwa sababu wanaishi nao.
Chadema kilikuwa kinatumiwa na wapinga magufuli wa ccm tena pamoja na lile genge la ccm lenye ajenda ya raia feki kushika hatamu ambalo kiongozi wao mkuu ni JAMBAZI NA BEDUI ROSTAM AZIZI...... kumbukeni kifo cha ben saa 8 ...mbowe siyo mtu mzuri hata kidogo...mboye alikuwa tayari kumtoa kafara mwana chadema yoyote asiye mpenda ili kumchafua JPM
 
Rushwa inatooewa na ccm kuwavuruga chadema. Abdul, Mungu anamuona.
 
Back
Top Bottom