LGE2024 CHADEMA Singida: Wasimamizi Wasaidizi wa uchaguzi ndio wamewawekea wagombea wa CHADEMA mapingamizi

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

mwanamwana

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2011
Posts
1,309
Reaction score
4,798
Mwenyekiti wa CHADEMA Singida Mjini, Shahibu Mohamed amesema wasimamizi wasaidizi wa uchaguzi Singida Mjini ndio waliowawekea mapingamizi wagombea wa Chadema na si wagombea wa CCM

Kuna mgombea wa Chadema amewekewa pingamizi kwasababu CCM wanadai huyo mgombea wa Chadema hajapeleka barua ya kuonyesha kuwa ameshahama CCM na kuhamia Chadema.

Screenshot_2024-07-16-21-00-20-1 (1).png
20240907_095744 (1).jpg
IMG-20200726-WA0000.jpg

Back
Top Bottom