Teh Teh Teh
Member
- Nov 13, 2009
- 41
- 9
CHADEMA SIYO PANGO LA WANYANG'ANYI.
CHADEMA siku zote huchukua hatua!
Ilimsimamisha Chacha Wangwe alipokuwa akitumika, au kutumia vibaya madaraka yake kubomoa Chama akiwa ni Makamu Mwenyekiti - TAIFA.
Jopo la Wazee ilimshauri Zitto kidemokrasia kuondoa fomu yake, kwani CHAMA kisingeweza kuhimili ushindani wa WATU WAKUBWA kugombea nafasi moja. CHAMA KINGEPATA NYUFA. Busara ilitumika.
Wale wote wasaliti katika safari ya nchi ya ahadi, lazima waondolewe kwenye Chama au kwenye nafasi zao! Maafisa wawili hao kuondolewa ni hatua za kuigwa!!
Chama kipo makini sana! Hatutaki kuingia Ikulu tukiwa wachafu tusije tukaitia unajisi Sinagogi! (Ikulu ya watanzania).
Jicho la CHADEMA huangaza mahali pote kwa Tembo hata sisimizi! Chachu moja huchachua donge zima! Tunajenga kuta imara ili kuzuia nyufa siku za usoni!
CCM wao wanaogopa kuchukua hatua!!!!! Iacheni Chadema ichukue Hatua!!