Elections 2010 CHADEMA, Slaa wang'ara Mwanza

Elections 2010 CHADEMA, Slaa wang'ara Mwanza

Mutu

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2008
Posts
1,329
Reaction score
49
Nimeona nyomi la watu, check hapo chini mniambie wadau.
Mbowe_na_Slaa_Mwanza.JPG

Marando_kuhutubia_Mwanza_3.JPG


1.Mwenyekiti wa CHADEMA akiwatambulisha wakazi mjini Mwanza.

2.Mwanachama wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mabere Marando, ambaye alijunga na chama hicho hivi karibuni akitokea chama cha NCCR Mageuzi, akiwahutubia wakazi wa jiji la Mwanza, katika mkutano wa hadhara wa kuomba kudhaminiwa, aliuofanyika kwenye Uwanja wa Furahisha jana.



Mgombea urais kwa tiketi ya Chama cha Deokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Wilbrod Slaa, akilakiwa na wakazi wa mji wa Musoma, mara baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa ndege wa Musoma, akitoea Arusha jana, ambako alikwenda kuomba udhamini.



Makamanda wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), akiwemo mgombea wa nafasi ya urais, Dk. Wilbrod Slaa (kulia), wakijadili ndani ya Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA), kabla ya kuanza safari ya kwenda Mwanza kuomba udhamini jana. Katikati ni Mwenyekiti wa taifa, Freeman Mbowe na kushoto ni mwanachama mpya wa chama hicho, Mabere Marando.




Viongozi wa CHADEMA wakipanda ndege kutoka Arusha kwenda Mwanza


Source: Hakingowi blog
 
Duh kumbe kuna blog vinazo mwaga vitu chek hapa picha za Chadema za kumwaga na za CCM ,Utaona pia wanachama CCM wakichapana makonde baada ya mmoja kumuuliza shyros banji swali la utata(sijuhi lipi aliye na data atumwagie)http://haki-hakingowi.blogspot.com/
 
hahaa hivi wana kinondoni kweli kabisa kwa utashi wenu mnaweza kumchagua huyo mwanamasumbwi km shyrose? km yeye akiulizwa swali anapigana huko bungeni atafanya nini?
 
hahaa hivi wana kinondoni kweli kabisa kwa utashi wenu mnaweza kumchagua huyo mwanamasumbwi km shyrose? km yeye akiulizwa swali anapigana huko bungeni atafanya nini?

:focus::focus::A S 465:

Mkuu najua hukumanisha kupost hii hapa
 
Tears On my Cheeks! pls Tanzanians let be on 31st October
 
Back
Top Bottom