CHADEMA suala la kutekwa kwa Kombo hamtendi haki

Zimmermann

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2010
Posts
3,506
Reaction score
2,606
Naamini kuna juhudi kubwaa zinafanyika chinichini ila wakati umefika mnatakiwa mtoe official stetement kuhusiana na dhamana ya Kombo.

Najiuliza hivi haya angekuwa ametendewa Heche au Lema kungekuwa na utulivu hivi? Polisi na mahakama wamewashinda ujanja?

Mwanachama wenu ataendelea kusota mpaka lini jela na majereha yake?

Naona mnashoboka na issue za Nape na Makamba wakati hazina umuhimu wowote.

Pia soma
 
..kwanini hulaumu jeshi la Polisi lililotenda ubaya?

..vijana mnanasa kwenye mtego wa Ccm wa kulaumu wapinzani wakati wakosaji ni Ccm, serikali, polisi,na mahakama.
 
Naamini kuna juhudi kubwaa zinafanyika chinichini ila wakati umefika mnatakiwa mtoe official stetement kuhusiana na dhamana ya Kombo.
Najiuliza hivi haya angekuwa ametendewa Heche au Lema kungekuwa na utulivu hivi? Polisi na mahakama wamewashinda ujanja? Mwanachama wenu ataendelea kusota mpaka lini jela na majereha yake?
Naona mnashoboka na issue za Nape na Makamba wakati hazina umuhimu wowote.
ulitaka wakuvunje gereza wakati sheria ndio zinatumika.unajua kesi zilivyo kitendo cha kupelekana mahakamani sio polisi pale ccm wanavovunja sheria watakavyo
 
Naamini kuna juhudi kubwaa zinafanyika chinichini ila wakati umefika mnatakiwa mtoe official stetement kuhusiana na dhamana ya Kombo.
Najiuliza hivi haya angekuwa ametendewa Heche au Lema kungekuwa na utulivu hivi? Polisi na mahakama wamewashinda ujanja? Mwanachama wenu ataendelea kusota mpaka lini jela na majereha yake?
Naona mnashoboka na issue za Nape na Makamba wakati hazina umuhimu wowote.
Hivi kuziswaga habari kwa waomaji kana kwamba wote wanaelewa chanzo cha habari husika huwa mnawaza nini?
 
Naamini kuna juhudi kubwaa zinafanyika chinichini ila wakati umefika mnatakiwa mtoe official stetement kuhusiana na dhamana ya Kombo.

Najiuliza hivi haya angekuwa ametendewa Heche au Lema kungekuwa na utulivu hivi? Polisi na mahakama wamewashinda ujanja?

Mwanachama wenu ataendelea kusota mpaka lini jela na majereha yake?

Naona mnashoboka na issue za Nape na Makamba wakati hazina umuhimu wowote.

Pia soma
Timu ya mawakili zaidi ya 6 wako Tanga, ingia kwenye X ya Madeleka. leo wamesema jaji hayupo
 
Kuna mtu ana details ya kinachoendelea na kesi ya huyu kijana? Chadema angalieni sana...binafsi mmenivunja moyo jinsi mnavyoshughulka na kesi ya huyu kijana
 
Back
Top Bottom