Zimmermann
JF-Expert Member
- Sep 28, 2010
- 3,506
- 2,606
Kombo MbwanaKombo huyu Waziri? 🐼
ulitaka wakuvunje gereza wakati sheria ndio zinatumika.unajua kesi zilivyo kitendo cha kupelekana mahakamani sio polisi pale ccm wanavovunja sheria watakavyoNaamini kuna juhudi kubwaa zinafanyika chinichini ila wakati umefika mnatakiwa mtoe official stetement kuhusiana na dhamana ya Kombo.
Najiuliza hivi haya angekuwa ametendewa Heche au Lema kungekuwa na utulivu hivi? Polisi na mahakama wamewashinda ujanja? Mwanachama wenu ataendelea kusota mpaka lini jela na majereha yake?
Naona mnashoboka na issue za Nape na Makamba wakati hazina umuhimu wowote.
Hivi kuziswaga habari kwa waomaji kana kwamba wote wanaelewa chanzo cha habari husika huwa mnawaza nini?Naamini kuna juhudi kubwaa zinafanyika chinichini ila wakati umefika mnatakiwa mtoe official stetement kuhusiana na dhamana ya Kombo.
Najiuliza hivi haya angekuwa ametendewa Heche au Lema kungekuwa na utulivu hivi? Polisi na mahakama wamewashinda ujanja? Mwanachama wenu ataendelea kusota mpaka lini jela na majereha yake?
Naona mnashoboka na issue za Nape na Makamba wakati hazina umuhimu wowote.
Timu ya mawakili zaidi ya 6 wako Tanga, ingia kwenye X ya Madeleka. leo wamesema jaji hayupoNaamini kuna juhudi kubwaa zinafanyika chinichini ila wakati umefika mnatakiwa mtoe official stetement kuhusiana na dhamana ya Kombo.
Najiuliza hivi haya angekuwa ametendewa Heche au Lema kungekuwa na utulivu hivi? Polisi na mahakama wamewashinda ujanja?
Mwanachama wenu ataendelea kusota mpaka lini jela na majereha yake?
Naona mnashoboka na issue za Nape na Makamba wakati hazina umuhimu wowote.
Pia soma