Torra Siabba
JF-Expert Member
- Jul 24, 2016
- 243
- 287
Wana Jamvi kuna mengine sio ya kuacha kabisa maana Wakati uchaguzi serikali za mitaaa ukitarajiwa kufanyika Novemba 27 Mwaka huu, leo wakati nimekaa kwenye kijiwe cha kahawa Ipuli hapa, nimepata taarifa kwamba Baadhi ya Waliokuwa wanataka kugombea nafadi za uenyekiti serikali za mitaa wamekacha kugombea wakiogopa kutekwa.
Wengine wanadai famillia zao zimewaambia kama hawajitaki basi waende wakagombee.
Watu wameingia mitini, kuna hatari ya CCM kushinda viti vyote kwenye huo Uchaguzi, maana nimeskia wagombea maarufu wanafuatwa kutishwa, wengine wanafuatwa na kupewa kiti kidogo wanakula Winga..