CHADEMA tambueni Tanzania ni dola huru, Marekani haina mamlaka kutetea uhalifu wa wanasiasa kama Mbowe


Kwani SSH, Mulamula, au Sirro wanasema je?
 
Na nyie tambuaeni chadema ni chama siasa na Kiko kihalali nchini wew unataka utendewe mazuri na wew tenda mazuri vinginevyo usitegemee kutendewa kinyume na unavyotenda...ndio formula ya ulimwengu
 
Kama ni gaidi afungwe tu,na funguo zitupwe baharini,Cha muhimu wekeni ushahidi hadharani.
Mkimalizana na Mbowe,muwatafute wale magaidi maarufu "watu wasiojurikana"waliomtwanga Mbunge wa bunge la jamhuri ya muungano risasi 19!mchana kweupee,na hivi mnaonaje adhabu yao iwe ni "kuwagonga"(kwa kutumia maneno ya afande Siro wakati Wana fanya extra judicial killing kule kibiti)
 
Wewe mtoto wa mbwa, Kama Tanzania ni nchi huru, mbona mmejaa uombaomba mbwa koko nyie
 
Wewe fisi,ivamieni nchi ambayo inawatuma CHADEMA kuchafua amani ya Tanzania.
Juha wewe.....
 
Ignorance is bliss. Dola huru unategemea misaada ya watu? Hata wanaojitegemea hawana uhuru wa kuwatesa watu wao.
 
Wanao onewa nchini hawana uchaguzi mwingine zaidi ya kutumia nao jeshi la nchi nyingine mana lao lipo kinyume nao.
 
Mshenzi mkubwa weee!
 
Taifa huru ndiyo kuwabambikia kesi wapinzani Uhuru ni kuwanyanyasa wapinzani
 
Sina hakika kama chadema pekee Yao ndio wanafanya uhalifu. Sijawahi kusikia ccm au vyama vingine vimekamatwa ukiachana na cdm
 
Na wewe unajua unachokifanya pia.
 
Familia ya Mbowe, Mnyika, Mrema, Kibatala wote wanao uhakika wa kula vizuri na kusoma lkn wewe ambaye maisha yako ni ya kubangaiza unaishia gerezani unaacha familia yako inateseka. jiongeze, achana na upuuzi tafuta maisha yako uwe na uhakika.
 
Nina uhakika una dhiki na fukara sana wa maisha wewe. Hapo ulipo sidhani kama una kazi ya maana.
 
jiongeze, wewe unaejifanya unatafuta haki uliwahi kuona watoto wa Mbowe anakamatwa au mke wake uliwahi kumuona amekamatwa?! au amelala mahabusu?!
uliwahi kumuona mtoto wa Mbowe kashika bango? au uliwahi kumuona mke wa Myika, Mrema au Kibatala kashika bango anaandamana?!
jiongeze, tafuta maisha yako.
 
Kuna mke wa kiongozi aliye fikia kiwango cha Mke wa Dr. Slaa mama Mushumbuzi?
uliwahi kumuona mke wa Mbowe anakamatwa na polisi na kulala rumande?
uliwahi kumuona mke wa Mnyika au Mrema au Kibatala anakamatwa?! jiongeze wewe acha kupoteza mwelekeo wa maisha yako. nenda katafute acha wahangaike wenye uhakika.
 
Uhuru una mipaka na hiyo mipaka inasimamiwa na USA under UN charter,ndio maana waziri wetu wa mambo ya nje kakiri kuwa hatuna uwezo wa kuzuia mazungumzo ya USA na wapinzani hasa CHADEMA.

Nzuri ni kuwa sasa dunia inajua siri za ushindi haramu na wizi wa CCM unatokana na katiba mbovu,na CHADEMA ipige hapo hapo kwenye katiba mpya,piga panapouma ndipo utaua adui.

Ni mkakati wa dunia ya wastaarabu kuwa CCM iondoke sasa madarakani maana ni adui wa democracy na dunia ya wastaarabu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…