Kurasini imuzwa kwa nani? wale walionunua plots na kujenga maghala na show rooms ambazo ni muhimu kwa bandari au? Hivi unajuwa unachoongea au unasema tu? Umwahi kupita lini Kurasini ukakuta zimejengwa Cassino na Hotels tofauti na lengo lililokusudiwa? Eti Ilala na Kinondoni barabara hadi uchochoroni!!!1 Sasa unataka kusema nini; manake nahisi kukuelewa kwamba unakubali kwamba CCM kumbe inafanya mambo makubwa. Kwa Dar, ni wilaya ya TMK pekee ambayo majimbo yake yote yamewahi kuchukuliwa na Upinzani (NCCR ya Mrema) na CUF!!! Sasa unapotoa fagio kwa Ilala jimbo ambalo halijawahi kuchukuliwa na wapinzani unaonesha kwamba CCM wanafanya makubwa hata kama mnajifanya hamuoni!!! Hiyo Kinondoni, ni mara moja tu ambapo Ubungo iiwahi kuwa chini ya NCCR!!!! WASILIMISHE WENZAKO NMA KUWAAMBIA KWAMBA CCM KUMBE INAFANYA MAMBO MAZURI ILALA NA KINONDONI( Refer, barabara hadi uchochoroni)